king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,033
Vema sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona mkuuThanks, Mungu awabariki sana naenjoy hapa,
hizi ndizo nyimbo zilizotungwa kumtukuza Mungu wa kweli sio hawa bongo fleva wa leo macho kodo kwenye hela tuu!
ShukraniMkuu heaven sent tutafurahi ukiwa nasi kwenye group utupe hizo nyimbo pia
Mmh sidhani kama naufahamuNa huu.....
Nimtumee nan.....
Unitume Mimi....nitakapofika
Loading.....
Cc Heaven Sent Yohana Kilimba
Songela Zigizigi,Dani wane!
Tile ka Shida,Dani wane!Ukembetwe muntua!
Pamoja sana!Vema sana mkuu
Haina shida,kaka!Dah jamani hadi raha mi naomba wimbo,uliopigwa na kinondoni unaosema Mchaka mchaka mkimbilie yesu
Hao Wanaitwa Naioth Prophetic Singers na Wimbo Unaitwa Unangoja Nini?Mungu kaupenda ulimwengu, kamtoa mwana wa pekee
Ili kila amwaminiye yeye asipotee
Unangoja nini wewe mwenye dhambi
Bwana Yesu alikufia
Calvary alipitia ili uokolewe
Bali wote watenda dhambi hao ni wana wa shetani tena ni watumwa wa hizo dhambi wanazofanyaMungu kaupenda ulimwengu, kamtoa mwana wa pekee
Ili kila amwaminiye yeye asipotee
Unangoja nini wewe mwenye dhambi
Bwana Yesu alikufia
Calvary alipitia ili uokolewe
Exactly, thank youuuHao Wanaitwa Naioth Prophetic Singers na Wimbo Unaitwa Unangoja Nini?
Na Nishauweka Humu,ebu Cheki thread zangu za nyuma!
Bali wote watenda dhambi hao ni wana wa shetani tena ni watumwa wa hizo dhambi wanazofanya
Bali wote walompokea walifanywa wana wa Mungu umwamini leo uache dhambi uwekwe huru
Asante mpenziExactly, thank youuu
yeah upo vizuri sana my dear
Nimeshaiona link dear, ntawajoin kwa phoneAsante mpenzi
Ushaingia kwa group dear?
Ebu angalia,kwenye posts za nyuma,kama haipo nshtue niiweke hapa!Hivi Yohana Kilimba umeuweka ule
"furaha gani wapendwa tukishafika mbinguni.....
Alisulubiwa Yesu kutuokoa. .
I think uliimbwa na St James
Inaonekana unatafakari maneno ya nyimbo za injili na sio beatsUwiii ahsante
1. Siku ya kufa kwangu, mimi siifahamu
Inanibidi sasa, niyatengeneze maisha....
Mwili wangu ukiwekwa mle kaburini
Ndugu zangu watakuwa wameuzunguka
Kuuaga mara ya mwisho, hapa duniani
Itakuwa huzuni kubwa hapa duniani
Yatengeneze maisha siku ya mwisho. ..
Ukizitubu dhambi, siku ya mwisho utaokoka
Nahisi tu utakuwa unaufahamu huu wimbo
Nilianza safari, kutafuta amani
Lakini dunia yote ni vilio tupu. ..
Mimi nipo Kwa Yesu sitaki mwingine
Sababu dunia yote ni vilio tupu
Nawe mwanadamu mshike Muumba wako
Maana ni Mungu pekee atakusaidia
Mpaka nipekue ndugu yanguheeeee wewe.... duh. Unao huh wimbo?
Mji ule unameremeta umepambwa maua. Halafu wameimba na ule mwimbo "Sasa nimetambua ya kwamba kwa Yesu kuna raha"..
Mimi nimeshindwa kujiunga maana whatsapp natumia laptop, sasa nimeshindwa kuscan ile QR code...
Barikiwa pia mpendwa. Kwenye hizi nyimbo unajikuta umezama kabisaaaInaonekana unatafakari maneno ya nyimbo za injili na sio beats
Nyimbo hizi ni IBADA KAMILI
Ila tu watu wengi wanasikiliza beats na sauti na sio ujumbe.
Itapendeza sana ikiwa wakristo wengi tutatafakari yaimbwayo katika nyimbo hizi, hasa za zamani zina hisia.
Barikiwa.