Ninazo nyimbo sita tu njoo what's app 0765544791Kuna kwaya moja ya 90's ilikua Arusha inajiita HURU SINGERS naskia walikua madada wa kizungu. Wana vibao vyao vya kiroho kama JINA LA YESU, HAKUNA MUNGU KAMA WEWE, ROHO MTAKATIFU, DAMU YA YESU na nyingine kibao. Atae vipata jamani anisaidie.
yeah ilikuwa kwaya ya wazungu waliimba wazungu waliitengeneza wazungu ila katika studio za habari maalum arusha wamoto sana aiseeeeKuna kwaya moja ya 90's ilikua Arusha inajiita HURU SINGERS naskia walikua madada wa kizungu. Wana vibao vyao vya kiroho kama JINA LA YESU, HAKUNA MUNGU KAMA WEWE, ROHO MTAKATIFU, DAMU YA YESU na nyingine kibao. Atae vipata jamani anisaidie.
HURU WAIMBAJI WA SIFAKuna kwaya moja ya 90's ilikua Arusha inajiita HURU SINGERS naskia walikua madada wa kizungu. Wana vibao vyao vya kiroho kama JINA LA YESU, HAKUNA MUNGU KAMA WEWE, ROHO MTAKATIFU, DAMU YA YESU na nyingine kibao. Atae vipata jamani anisaidie.
Tumain choir arusha/ shangilieni, album inaitwa silaha ya USHINDI, full abum ipo youtubeKuna album moja ya kwaya ambayo kwenye cassette yake kulikuwa na picha ya kifaru cha vita....nimeisahau jina...kama kuna mtu atakuwa anaikumbuka ile cassette na jina lake atabarikiwa sana
Ilikuwa inaitwa Kaminula Choir... Na ilikuwa Katumba-Mpanda.Kuna kwaya moja hivi ilishika sana ilikuwa ikiitwa kamenyula kama ntakuwa sijakosea spelling.
Naweza kupata album yao?
Kaminula Choir- Katumba Mpanda,KataviView attachment 1074023Ilikuwa inaitwa Kaminula Choir... Na ilikuwa Katumba-Mpanda.
Moja ya wimbo wao maarufu ni "Stefano" na mwingine ni "Haki Huinua Taifa"..
Natafuta Wimbo wa Neema Cizungu unaitwa Tumrudie Mungu
Tumain st James choir ArushaKuna album moja ya kwaya ambayo kwenye cassette yake kulikuwa na picha ya kifaru cha vita....nimeisahau jina...kama kuna mtu atakuwa anaikumbuka ile cassette na jina lake atabarikiwa sana
Huu uwimbo na sauti ya huyu dada imenisafisha roho yangu kabisa. ...dah! Amen RA
Ninazo original zake kama bado unazihitaji lakini nikutumieHivyi zile original version inapatikana kweli sio hii iliyorudiwa
Kama kuna mtu ana nyimbo zifuatazo anisaidie
"ohooo lulu iko mbinguni"
"katika viumbe vyote vilivyoumba binadamu kaumbika kuliko vyote"
"malebo kakataa kuokoka"
Sikumbuki majina ya walioimba ni akina nani, kichwa changu memory yake ndogo ni 2GB na kimejaa kwa sasa, mnisamehe
Zote mkuu; wewe tupia kama unazo.Audio au Video?
Ubarikiwe sana mkuu Yohana Kilimba kwa kuanzisha huu uzi muhimu sana kwa wanaJFWakuu,
Ninawiwa Kuhuanzisha Uzi Huu Ili Kuwaleta Karibu Wapenzi wa Nyimbo Za Injili za Zamani!
From the 80s,90s and the Early 2000s!
Kuanzia Barabara 13,Aict Shinyanga,Kijitonyama Upendo Group,Na N.k!
Naoma Tubadlshane Audios,Videos na Picha Waimbaji wa Zamani!
Old is Gold!