Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Mungu wangu!
Waliimba toka rohoni kabisa, wakifunikwa na Roho Mtakatifu,
Mungu awabariki kwa kuanzisha jambo zuri na kutuhuisha mioyo yetu..
Mkuu,ukitaka kurukaruka ili utoke jasho,we sikiliza hizi New School Gospel Hits and Hitters:Rose Muhando and her likes!Ila Ukitaka Kutuliza Moyo na Roho Yako,na Kuwa Karibu na Uwepo wa Mungu Sikiliza Nyimbo Tunazoziweka Hapa!
 
Shakilimba ubarikiwe na Bwana Yesu Kristo Kwa uzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…