Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
- Thread starter
- #41
Ilikuwa Hakuna Mapozi,Unyangema Wala Ujiko,ni Injili Mbele kwa Mbele!Dah zamani ndo kulikuwa na waimbaji aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa Hakuna Mapozi,Unyangema Wala Ujiko,ni Injili Mbele kwa Mbele!Dah zamani ndo kulikuwa na waimbaji aisee
Huyo mama ni kipofu aliimba zamani sana.Huu uwimbo na sauti ya huyu dada imenisafisha roho yangu kabisa. ...dah! Amen RA
Unaomba Tuuweke Hapa au Unao na Unataka Kuuweka Hapa JF?Safi Yohana....mimi naanza na Tumaini, St james.
Fanya Hima Uwahi!Nitarudi
Haina Shida,Karibu Sana!Huu uzi nimeupenda na hizi nyimbo zimenikumbusha mbali.
Uweke mkuu...sina kwny hii deviceUnaomba Tuuweke Hapa au Unao na Unataka Kuuweka Hapa JF?
Mkuu,ni Martha Mlata au Martha Mwaipaja?Mimi naomba kama kuna mtu anazo za mh. Martha Mlata. ..2005 alitoa CD nzuri sana. ..nimeitafuta sana sijaipata. ..natanguliza shukurani. ..
Mkuu,ukitaka kurukaruka ili utoke jasho,we sikiliza hizi New School Gospel Hits and Hitters:Rose Muhando and her likes!Ila Ukitaka Kutuliza Moyo na Roho Yako,na Kuwa Karibu na Uwepo wa Mungu Sikiliza Nyimbo Tunazoziweka Hapa!Mungu wangu!
Waliimba toka rohoni kabisa, wakifunikwa na Roho Mtakatifu,
Mungu awabariki kwa kuanzisha jambo zuri na kutuhuisha mioyo yetu..
Shakilimba ubarikiwe na Bwana Yesu Kristo Kwa uzi huuWakuu,
Ninawiwa Kuhuanzisha Uzi Huu Ili Kuwaleta Karibu Wapenzi wa Nyimbo Za Injili za Zamani!
From the 80s,90s and the Early 2000s!
Kuanzia Barabara 13,Aict Shinyanga,Kijitonyama Upendo Group,Na N.k!
Naoma Tubadlshane Audios,Videos na Picha Waimbaji wa Zamani!
Old is Gold!
Songela Zigizigi,Dani wane!Shakilimba ubarikiwe na Bwana Yesu Kristo Kwa uzi huu
Mbona rahisi tena kwa simu ndiyo rahisi!unatumia gadget gani kuacess JF kwa sasa?Barikiwa sana japo nimeshindwa kudownload mdau
Kumbe ukiwa nje ya jukwaa la siasa ni mfuasi mzuri wa mambo ya Kimungu eenh...Dah, umenikumbusha mbali sana mkuu, nimetoa na machozi, dah!!