Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

musa kaona kijiti kikiwaka-Tumaini kwaya arusha naiomba(naomba pia nisahihishwe kama nimekosea jina la wimbo)
 
Nashukuru kwa huo uchambuzi,hiyo band sidhani kama naipata kwakweli.
Old is gold.
 
Mimi sio mkristu, lakini nakumbuka wimbo huu: kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyeweee,
na kilamtu atatoa habarizake mwenyewe, mbele ya mungu siku hiyo itafikaaaa
Nimeiweka Hapo Chini Mkuu,ebu Enjoy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…