Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaratibu Ukikamilika Utajurishwa,mkuuFungua whasp afu niadi please! 0755720872
HuaweiUnatumia gadget gani?
Jaribu kutumia JF app,au tumia p.c!Huawei
Nashukuru kwa huo uchambuzi,hiyo band sidhani kama naipata kwakweli.Umeuliza kuhusu Sedekia na RHM, ni kwamba Sedekia alishaimba na New Life Band, kama unawajua hawa vijana na band yao.
Ila Tanzania nzima walikuwa wanarekodi RHM.
Sidhani kama itatokea tena Gospel band kama NLB Tanzania
Na sio Sedekia tu ila pia kuna Upendo Kilahiro na Beatrice Muhone.
NLB Walitunga mapambio kama:-
- Iende mbelee injili hiyoo...iende mbeleee
- Ainuliwe Mungu wetu leooo...ainuliwe bwana wa mabwana
- Mji ulee una meremeta umepambwa mauaaa
Unakumbuka?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Martha MlataMkuu,ni Martha Mlata au Martha Mwaipaja?
Katika Njia ya Injili
Nijaposema kwa Lugha
Acha Niitafute basi...Hivyi zile original version inapatikana kweli sio hii iliyorudiwa
Nimekuweka chini,nikakupa vitu vyote lakini umesahau kama mimi ni muumba wako.Mwenye huu wimbo anisaidie
Original version sifahamu mkuu labda utafute tafute utaweza pata.Hivyi zile original version inapatikana kweli sio hii iliyorudiwa
Nimeiweka Hapo Chini Mkuu,ebu Enjoy!Mimi sio mkristu, lakini nakumbuka wimbo huu: kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyeweee,
na kilamtu atatoa habarizake mwenyewe, mbele ya mungu siku hiyo itafikaaaa