Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Dah, umenikumbusha mbali sana mkuu, nimetoa na machozi, dah!!
Unabarikiwe sana nimekumbuka mbali sana hizi ndio zilikuwa nyimbo za kumsifu Mungu nanKumwabudu sio huu ujanja ujanja,waimbaji wa sasa wanawaza kutoka tu.
hizi nyimbo zinapatika wapi kwa sasa
 
Kwenye miaka ya 80 kulikuwa na wimbo mmoja wa dini ukiwa na maneno haya:
"...Nikaenda mpaka kwa waganga...Baba yangu akawa mbaya, mama pia akawa mbaya. Wote ndugu wakawa wabaya, Nilipata hasara (hasira? ) na chuki nyingi...... yesu nipe uzima....." Sijui uliimbwa na kwaya gani?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…