the say
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,772
- 3,360
Huu hapa?
Hapa ilikuwa live performance
Vp mkuu una ile original kabisa kama unayo itupie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu hapa?
Hapa ilikuwa live performance
siku hizi uko wapi?x mas enzi hizo nipo mkristo aisee
karibu tena,kuna mdau kaanzisha kundi la whatsapp la nyimbo hizi,waweza weka namba yako wakuunge na ww!Mmebariki sana jioni yangu
0762 938653karibu tena,kuna mdau kaanzisha kundi la whatsapp la nyimbo hizi,waweza weka namba yako wakuunge na ww!
Sinayo original ndugu.Vp mkuu una ile original kabisa kama unayo itupie
Yani nafarijika kwanyimbo hizo vzr sana...sasaivi waimbaji gospels wapo kibiashara hawamtukuzi munguThanks, Mungu awabariki sana naenjoy hapa,
hizi ndizo nyimbo zilizotungwa kumtukuza Mungu wa kweli sio hawa bongo fleva wa leo macho kodo kwenye hela tuu!
Wale jamaa wa soma Biblia kwenye L/Cruiser zao niliwasikia siku moja wakiucheza wakaniambia wao ndio wana idhini ya kusambaza ila wakati huo hawakuwa na nakala nitawafuata wapo hapa mikocheniMimi kwa mara ya mwisho niliisikiliza hiyo nikiwa O level, nadhani kati ya mwaka 1994 au 1995...miaka zaidi ya 20 imepita na sijapata hata wimbo mmoja nikumbushie.
Ukristo ni rahax mas enzi hizo nipo mkristo aisee
Mkuu Nina shida ya wimbo wa Fanuel Sedekia Napenda Kuimba fadhili zako... plz kama unaoUna Wimbo Wowote Maarufu Unaoukumbuka?