Uzi maalumu kwa Wana JamiiForums wanaohamia na kuishi Dodoma!

Nakuja Dom mwezi wa tisa..vyumba vya kiswazi vinaanzia bei gani?
 
Kwamfano nipo waswanu nawasubiri naandika uzi mpk mpt taarifa masaa kibao yamepita na grants imeisha na kitimoto
Fanya mpange mfano kesho saa 11 jioni tutakuwa waswanu sasa kuanzia saa 10 kila mtu awe online jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…