Mbabe hunter
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 327
- 477
Kama hayupo online?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hayupo online?
Eeee maaana hakuna namna!
Oooooh sawa!Nakuandalia apatment bina kwangu nina bonge la familia
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Yaaani vile nawezalala mpaka saa 4, halafu nafua nguo huku nimejiachiaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiii hiyo kujinafasi veeeepe
club masonyeni unaijua pale majengoNajiremba tayar kwenda club [emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji188]
Kwamfano nipo waswanu nawasubiri naandika uzi mpk mpt taarifa masaa kibao yamepita na grants imeisha na kitimotoUnamuandikia uziii taarifa atazipata tu
MmmmhNikutafutie Totoz wa kukupa kampany
Aiseeh dah .. tufanye jumapili jioni nadhan ni poa zaidiFanya mpange mfano kesho saa 11 jioni tutakuwa waswanu sasa kuanzia saa 10 kila mtu awe online jf
Tembeza wazo watapatikana tu hapa hapa na tupange sehemTutakuwa wangapi sasa?