Uzi maalumu kwa Wana JamiiForums wanaohamia na kuishi Dodoma!

mi naona sehemu hizo ni za bei poa afu hata watoto wa la 7 wanaendaga so kujimix na watoto ni kujidharirisha.

mfanovroyal village simple sana pale vitoto vingi vinashindaga pale age 14yrs±

bado hujazunguka dom yote wewe kuna sehemu tulivu na za hadhi.
Hebu zitaje mkuu tuzifahamu!
 
Okey , kuna venue moja kwa maza mmoja wa kichaga Maeneo ya Dowasco. Njia ya kwenda udom kabla ya BOT. Kuna msosi mtamu sana bufee ni Elfu saba. Huwa nakaa sana hapo na kupata [emoji481] baada ya shughuli zangu za hapa na pale. Huko kwengine nimeachana napo
 
lile soko pale pemben ya nyerere square kwa mitoko mikali...na yule kaka anauzia wanafunzi coz work,tght,tip,shifoni

Demiss unapajua hapa fika maeneo hayo kwa pamba kali
Wacha kuna tght bamba elf 3 na shifoni kali za elf 3 suruali za vitambaa viatu vya mtumba elf 5 vizur
 
mi naona sehemu hizo ni za bei poa afu hata watoto wa la 7 wanaendaga so kujimix na watoto ni kujidharirisha.

mfanovroyal village simple sana pale vitoto vingi vinashindaga pale age 14yrs±

bado hujazunguka dom yote wewe kuna sehemu tulivu na za hadhi.
Kwenye mahoteli hapo sawa
 
Okey , kuna venue moja kwa maza mmoja wa kichaga Maeneo ya Dowasco. Njia ya kwenda udom kabla ya BOT. Kuna msosi mtamu sana bufee ni Elfu saba. Huwa nakaa sana hapo na kupata [emoji481] baada ya shughuli zangu za hapa na pale. Huko kwengine nimeachana napo
Maeneo ya Veta veta au Tresure square
 
Ebu zitaje mkuu
 
Kumbe kuna buffee la buku saba pale? Si unaongelea hapa opposite na ghorofa jipya la PSPF? Pembeni yake wanauza kitimoto?

Yule Jirani yake wa kitimoto huwa ananitisha maana wengine sisi sio wateja. Ngoja kesho lunch nifanye ziara
 
Back
Top Bottom