Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 593
- 2,219
Kweli wewe bichwa tupu.....HIV Virus ni fragile virus .....hivyo ni ngumu kupata n akikupata ni ngumu kutoka naamini una fahama maana ya neno PHNilikuwa Geita.
Si lazima mgongane, anaweza kwepa jiwe mkadondoka mkapata michubuko midogo tu na hata pikipiki isiumie ila mkawa mmegusana na kuambukizana. Na si boda tu, jambo lolote linalohusisha damu kidogo mno, kidogo sana ambayo wala unaweza usiinotice linaweza kukupa HIV.Tokea lin boda boda ikawa ni ajali ndogo
Alternative iwapo una HIV?Kama umeshajua kwamba ARV ni pesa, basi tayari unaelewa nini nazungumza.
Shida hapa ni kwamba unatoa pesa na kuuza uhai.
Unalipa kodi, serikali inabeba kodi inaenda kununua madawa, unabugia madawa, unajishindilia masumu halafu unakufa kienyeji kama kuku wa kisasa.
You lose both ways. Money and life.
Na bado hataelewaKweli wewe bichwa tupu.....HIV Virus ni fragile virus .....hivyo ni ngumu kupata n akikupata ni ngumu kutoka naamini una fahama maana ya neno PH
So hiv virus ili kumpata mtu vifuatavyo vinaitajika
1 . Right Ph
2.right temperature
3.right amount of hiv virus
So haya yote lazima yawe sahihi ndo kinaweza kwenda kwa mtu mwingine ndo maana flagile virus yaani ni rahis kufa kikowa nje ya mazingira yake sahihi
Tofauti ni virus kama vya covid ....au virus vya red eyes mfano tu..
Wataalam virology wanajua sana pia experties wa HIV ila wajinga kama wewe huwa mnapotosha jamiii
The alternative is to die and go to the heavens.Alternative iwapo una HIV?
Accept and die. Ok, ni njia pia maana kila mtu atakufa ila hiyo ni njia yako kuna ambaye ataona ni UPUMBAVU sababu ya kifo, watu wanataka kuishi si kufa.The alternative is to die and go to the heavens.
If you want to be human and to have life, you must be willing to be a host of harmless microorganisms. They are harmless afterall.
They play a vital role in the general BODY MICROBIOTA.
Wajinga kama wewe mnaokariri notes nafikiri mko wengi zaidi kuliko wenye maarifa ya KWELI.Kweli wewe bichwa tupu.....HIV Virus ni fragile virus .....hivyo ni ngumu kupata n akikupata ni ngumu kutoka naamini una fahama maana ya neno PH
So hiv virus ili kumpata mtu vifuatavyo vinaitajika
1 . Right Ph
2.right temperature
3.right amount of hiv virus
So haya yote lazima yawe sahihi ndo kinaweza kwenda kwa mtu mwingine ndo maana flagile virus yaani ni rahis kufa kikowa nje ya mazingira yake sahihi
Tofauti ni virus kama vya covid ....au virus vya red eyes mfano tu..
Wataalam virology wanajua sana pia experties wa HIV ila wajinga kama wewe huwa mnapotosha jamiii
Tatizo huwi muwazi wa ni nini unajua watu wakusikie wachanganye na za kwao.Wajinga kama wewe mnaokariri notes nafikiri mko wengi zaidi kuliko wenye maarifa ya KWELI.
Hapa unawaingiza watu chaka kwa kutumia elimu yako ya DIVISHENI FOO ya Mwembechai Secondary School.
Achana na soga za FRAGILE VIRUS, hakuna kitu kama hicho.
Hapana, sio accept and die.Accept and die. Ok,
"The alternative is to die and go to the heavens."Hapana, sio accept and die.
No virus can kill the body.
Yale ni masayansi ya kijinga tu ya udaganyifu.
Hukunielewa nilichosema."The alternative is to die and go to the heavens."
Haya ni maandishi yako, kwa kiswahili ulimaanisha mbadala ni kufa na kwenda mbinguni.
Mmh oyaa mbona demu wangu ana hizo daliliKupata joto sana, haswa nyakati za usiku
Kichwa kuuma kidogo kidogo japo mara kwa mara
Kukohoa kikohozi kikavu pia kinazidi nyakati za usiku
Homa za mara kwa mara
Kupungua uzito
Kuna mda nywere zinakuwa kama umewekea dawa zile za wanawake (ukizishika tu unahisi, huhitaji kuambiwa)....
Ok. Nimekuelewa. Sasa maambukizi yanatokana na nini? Kwanini makapi yanaongezeka na kusababisha mtu ashambuliwe na magonjwa?Hukunielewa nilichosema.
Nimesema toka hapo awali kwamba, hicho kinachoitwa HIV ni retrovirus kama retroviruses wengine. Na kimsingi ni makapi tu yanayotokana na uchafu wa kijenetiki ndani ya mwili. They are DEAD MATTER.
Kitu kisicho hai kinawezaje kukuua?
NISOME HAPA:
1. Not all viruses are retroviruses.
2. All retroviruses are harmeless.
3. HIV is retrovirus.
4. THEREFORE HIV is harmless.
Usiogope boss, labda ni mimba tu umekuja kwa mtindo wa kihiv hiv.Mmh oyaa mbona demu wangu ana hizo dalili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi napimaga malaria tu
Sio ukimwi Mara zote inaweza kuwa hata TB. Nenda kituo cha afya kwa analysis zaidiMmh oyaa mbona demu wangu ana hizo dalili
Mkuu harufu yake inafanania na nini?Kinachokera sio uchungu au utamu bali ni harufu yake, as a matter of fact zinakinai mno, ndo maana wengi huziacha njian
Mwili haupaswi kuwa na makapi makapi au uchafu.Ok. Nimekuelewa. Sasa maambukizi yanatokana na nini? Kwanini makapi yanaongezeka na kusababisha mtu ashambuliwe na magonjwa?
Kijana, kijana, kijana, kaa utulie.Mkuu harufu yake inafanania na nini?
Una akili ila changamoto ni jinsi yako isiyojulikana.Hukunielewa nilichosema.
Nimesema toka hapo awali kwamba, hicho kinachoitwa HIV ni retrovirus kama retroviruses wengine. Na kimsingi ni makapi tu yanayotokana na uchafu wa kijenetiki ndani ya mwili. They are DEAD MATTER.
Kitu kisicho hai kinawezaje kukuua?
NISOME HAPA:
1. Not all viruses are retroviruses.
2. All retroviruses are harmeless.
3. HIV is a retrovirus.
4. THEREFORE HIV is harmless.