Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Nilikuwa Geita.
Kweli wewe bichwa tupu.....HIV Virus ni fragile virus .....hivyo ni ngumu kupata n akikupata ni ngumu kutoka naamini una fahama maana ya neno PH

So hiv virus ili kumpata mtu vifuatavyo vinaitajika

1 . Right Ph
2.right temperature
3.right amount of hiv virus

So haya yote lazima yawe sahihi ndo kinaweza kwenda kwa mtu mwingine ndo maana flagile virus yaani ni rahis kufa kikowa nje ya mazingira yake sahihi

Tofauti ni virus kama vya covid ....au virus vya red eyes mfano tu..

Wataalam virology wanajua sana pia experties wa HIV ila wajinga kama wewe huwa mnapotosha jamiii
 
Tokea lin boda boda ikawa ni ajali ndogo
Si lazima mgongane, anaweza kwepa jiwe mkadondoka mkapata michubuko midogo tu na hata pikipiki isiumie ila mkawa mmegusana na kuambukizana. Na si boda tu, jambo lolote linalohusisha damu kidogo mno, kidogo sana ambayo wala unaweza usiinotice linaweza kukupa HIV.
 
Kama umeshajua kwamba ARV ni pesa, basi tayari unaelewa nini nazungumza.

Shida hapa ni kwamba unatoa pesa na kuuza uhai.

Unalipa kodi, serikali inabeba kodi inaenda kununua madawa, unabugia madawa, unajishindilia masumu halafu unakufa kienyeji kama kuku wa kisasa.

You lose both ways. Money and life.
Alternative iwapo una HIV?
 
Kweli wewe bichwa tupu.....HIV Virus ni fragile virus .....hivyo ni ngumu kupata n akikupata ni ngumu kutoka naamini una fahama maana ya neno PH

So hiv virus ili kumpata mtu vifuatavyo vinaitajika

1 . Right Ph
2.right temperature
3.right amount of hiv virus

So haya yote lazima yawe sahihi ndo kinaweza kwenda kwa mtu mwingine ndo maana flagile virus yaani ni rahis kufa kikowa nje ya mazingira yake sahihi

Tofauti ni virus kama vya covid ....au virus vya red eyes mfano tu..

Wataalam virology wanajua sana pia experties wa HIV ila wajinga kama wewe huwa mnapotosha jamiii
Na bado hataelewa
 
Alternative iwapo una HIV?
The alternative is to die and go to the heavens.

If you want to be human and to have life, you must be willing to be a host of harmless microorganisms. They are harmless afterall.

They play a vital role in the general BODY MICROBIOTA.
 
Accept and die. Ok, ni njia pia maana kila mtu atakufa ila hiyo ni njia yako kuna ambaye ataona ni UPUMBAVU sababu ya kifo, watu wanataka kuishi si kufa.

Hata hivyo kwenye mlipuko njia ya kuacha wengi kufa ni shortcut ya kutokomeza ugonjwa au kufungua njia kwa mabadiliko ya kibiolojia yatakayowezesha kizazi kipya kutengeneza kinga asili.
 
Kweli wewe bichwa tupu.....HIV Virus ni fragile virus .....hivyo ni ngumu kupata n akikupata ni ngumu kutoka naamini una fahama maana ya neno PH

So hiv virus ili kumpata mtu vifuatavyo vinaitajika

1 . Right Ph
2.right temperature
3.right amount of hiv virus

So haya yote lazima yawe sahihi ndo kinaweza kwenda kwa mtu mwingine ndo maana flagile virus yaani ni rahis kufa kikowa nje ya mazingira yake sahihi

Tofauti ni virus kama vya covid ....au virus vya red eyes mfano tu..

Wataalam virology wanajua sana pia experties wa HIV ila wajinga kama wewe huwa mnapotosha jamiii
Wajinga kama wewe mnaokariri notes nafikiri mko wengi zaidi kuliko wenye maarifa ya KWELI.

Hapa unawaingiza watu chaka kwa kutumia elimu yako ya DIVISHENI FOO ya Mwembechai Secondary School.

Achana na soga za FRAGILE VIRUS, hakuna kitu kama hicho.
 
Tatizo huwi muwazi wa ni nini unajua watu wakusikie wachanganye na za kwao.
 
Accept and die. Ok,
Hapana, sio accept and die.

No virus can kill the body.

Yale ni masayansi ya kijinga tu ya udaganyifu.

What kills the body is the ARVs. The toxins and poison in their chemical components specifically ZIDOVUDINE which kills WBCs and inhibit their production from the BONE MARROW.
 
Hapana, sio accept and die.

No virus can kill the body.

Yale ni masayansi ya kijinga tu ya udaganyifu.
"The alternative is to die and go to the heavens."
Haya ni maandishi yako, kwa kiswahili ulimaanisha mbadala ni kufa na kwenda mbinguni.

Ok, lets say ulipitiwa tu hukumaanisha hivyo, turudi kwanini unasema hakuna kirusi kinachoua mwili?
 
"The alternative is to die and go to the heavens."
Haya ni maandishi yako, kwa kiswahili ulimaanisha mbadala ni kufa na kwenda mbinguni.
Hukunielewa nilichosema.

Nimesema toka hapo awali kwamba, hicho kinachoitwa HIV ni retrovirus kama retroviruses wengine. Na kimsingi ni makapi tu yanayotokana na uchafu wa kijenetiki ndani ya mwili. They are DEAD MATTER.

Kitu kisicho hai kinawezaje kukuua?

NISOME HAPA:

1. Not all viruses are retroviruses.

2. All retroviruses are harmeless.

3. HIV is a retrovirus.

4. THEREFORE HIV is harmless.
 
Kupata joto sana, haswa nyakati za usiku
Kichwa kuuma kidogo kidogo japo mara kwa mara
Kukohoa kikohozi kikavu pia kinazidi nyakati za usiku
Homa za mara kwa mara
Kupungua uzito
Kuna mda nywere zinakuwa kama umewekea dawa zile za wanawake (ukizishika tu unahisi, huhitaji kuambiwa)....
Mmh oyaa mbona demu wangu ana hizo dalili
 
Hukunielewa nilichosema.

Nimesema toka hapo awali kwamba, hicho kinachoitwa HIV ni retrovirus kama retroviruses wengine. Na kimsingi ni makapi tu yanayotokana na uchafu wa kijenetiki ndani ya mwili. They are DEAD MATTER.

Kitu kisicho hai kinawezaje kukuua?

NISOME HAPA:

1. Not all viruses are retroviruses.

2. All retroviruses are harmeless.

3. HIV is retrovirus.

4. THEREFORE HIV is harmless.
Ok. Nimekuelewa. Sasa maambukizi yanatokana na nini? Kwanini makapi yanaongezeka na kusababisha mtu ashambuliwe na magonjwa?
 
Ok. Nimekuelewa. Sasa maambukizi yanatokana na nini? Kwanini makapi yanaongezeka na kusababisha mtu ashambuliwe na magonjwa?
Mwili haupaswi kuwa na makapi makapi au uchafu.

Makapi na mauchafu huwa yanatolewa nje ya mwili mara moja.

Kama kuna makapi makapi mwilini na mauchafu, ujue kuna namna mwili haufanyi kazi ipasavyo kwa sababu umeujaza masumu mengi au umekosa viinilishe stahiki au umeudhuru mwili kwa namna fulani.

Na ndipo hapo utakaposhambuliwa na maradhi ya kila aina.

Palipo na uchafu lazima ukute bacteria, fungus, funza, minyoo na panya wa kila aina.

UCHAFU = Panya, mende, bacteria, fungus, virus, funza na minyoo.

BACTERIA NA FUNZA= Tuberculosis, malaria, Gonorea, Typhoid, respiratory infections. etc.

Hayo maradhi yote yanakueleza kwamba mwili ni MCHAFU.

MWILI ukiwa MCHAFU utatafuta namna ya kujisafisha, na ndipo hapo utaanza kupata "magonjwa".

MAGONJWA ni namna ya mwili kujisafisha IN EXTREME CIRCUMSTANCES where the body is BOMBARDED by loads of poisons.
 
Hukunielewa nilichosema.

Nimesema toka hapo awali kwamba, hicho kinachoitwa HIV ni retrovirus kama retroviruses wengine. Na kimsingi ni makapi tu yanayotokana na uchafu wa kijenetiki ndani ya mwili. They are DEAD MATTER.

Kitu kisicho hai kinawezaje kukuua?

NISOME HAPA:

1. Not all viruses are retroviruses.

2. All retroviruses are harmeless.

3. HIV is a retrovirus.

4. THEREFORE HIV is harmless.
Una akili ila changamoto ni jinsi yako isiyojulikana.
 
Back
Top Bottom