Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Hizo tena dalili za kuumwa Ukimwi virusi vikiingia unaweza kupata kama homa za malaria mafua sababu kinga ya mwili inapambana kama mwezi kisha unakaa hata miaka 5-10 hujijui kisha dalili zinaanza kama ulizo taja hapo ndo maana siku hizi ukienda unaumwa homa unapimwa unaanzishiwa ARV nashukuru Mungu niko salama kila nikipimwa naogopa na siogopi labda mie Malaya naogopa mtu wangu nilonae kama anaruka ruka nje wake wengi tunaletewa na waume.
Kupata joto sana, haswa nyakati za usiku
Kichwa kuuma kidogo kidogo japo mara kwa mara
Kukohoa kikohozi kikavu pia kinazidi nyakati za usiku
Homa za mara kwa mara
Kupungua uzito
Kuna mda nywere zinakuwa kama umewekea dawa zile za wanawake.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…