Wala si shida, ukifuata ratiba yako vizuri unadunda tu. Unakuwa hauna complications ndogondogo kabisa. Kuna watu wanagonga 20 yrs wanao na wako fit tu. Tunaogopaga kujianika kwa sababu unyanyapaa bado ni changamotoAcha kabisaaa, huu ugonjwa shida yake ni kumeza dawa kila siku duh!!!
Hiyo ni miaka tangu mtu amejijua anao, maana yake ni mtu mzima sana tu. Yaani tangu 2006 na bado life linasonga tu.Ulizaliwa nao au?
Shuhuda kama hizi ndizo zinaniaminisha ngoma ipo😒Hiyo ni miaka tangu mtu amejijua anao, maana yake ni mtu mzima sana tu. Yaani tangu 2006 na bado life linasonga tu.
Kwa nini isiwepo, nina uncle wangu wife wake alifariki 1998 kwa hiyo changamoto. Na yeye alithibitishwa kuwa nayo. Mpaka leo yuko poa tu, alishaoa tena na watoto washakuwa watu wazima na wako salama tu.Shuhuda kama hizi ndizo zinaniaminisha ngoma ipo😒
Kuna kitu nimenotice, kwanini kwenye ukoo utakuta hata watu 5 wana ngoma ni kila ukoo hawa watu hawakosekani au ngoma ni kama roho akipata mmoja kwenye ukoo inafata na wengine🤔Kwa nini isiwepo, nina uncle wangu wife wake alifariki 1998 kwa hiyo changamoto. Na yeye alithibitishwa kuwa nayo. Mpaka leo yuko poa tu, alishaoa tena na watoto washakuwa watu wazima na wako salama tu.
Hapana, si kweli, kuna familia nyingi tu hazina hiyo changamoto. Ingawa wananchi wote wakiamua kupima kwa hiari takwimu zitakuwa juu sana. Maambukizi yanaongezeka sana, wagonjwa hawaonekani tena kwa macho, ARV zimesaidia sana kupunguza watu kufikia stage ya UKIMWi, wengi wamebaki kwenye stage ya HIV tu.Kuna kitu nimenotice, kwanini kwenye ukoo utakuta hata watu 5 wana ngoma ni kila ukoo hawa watu hawakosekani au ngoma ni kama roho akipata mmoja kwenye ukoo inafata na wengine🤔
Kukoje kwani kwenye mgodi?Daah aisee hongera kwa kujitambua.
Mimi mara ya mwisho nilipima 2021, nilikua -ve.
Ila migodini naskia ni habari nyingine kabisa.
Fungua mapito kidogo mkuu!, am - ve, lakini napenda sana kustudy hii kitu kwa kina, napekuwa vitabu vya tiba za kale za misri kwa kasi sana,.By the way UKIMIWI UNAPONA FRESHI TU ILA NI SECRET, nikimkumbuka yule mzungu daah
Watu wa sukari na wengine pressure kila siku na wengine mara mbili kwa siku na wako sindano daily. Tuombe uzima tuAcha kabisaaa, huu ugonjwa shida yake ni kumeza dawa kila siku duh!!!
kabisaa mkuuWatu wa sukari na wengine pressure kila siku na wengine mara mbili kwa siku na wako sindano daily. Tuombe uzima tu
Kabisa rafikiSAWA mabusu moto moto!!
Sisi negative tunaruhusiwa ku komenti!!?
Ni kweli unapona ila ni siri sana, nina shuhuda ila siwezi semea hapa.By the way UKIMIWI UNAPONA FRESHI TU ILA NI SECRET, nikimkumbuka yule mzungu daah
Sio kweli labda kuwe na tabia za kufanana za kupenda ngono bila kujijaliKuna kitu nimenotice, kwanini kwenye ukoo utakuta hata watu 5 wana ngoma ni kila ukoo hawa watu hawakosekani au ngoma ni kama roho akipata mmoja kwenye ukoo inafata na wengine🤔
Hapo nimeelewa mkuuSio kweli labda kuwe na tabia za kufanana za kupenda ngono bila kujijali
Wengi hawajui, wacha waendelee kutokujua.Ni kweli unapona ila ni siri sana, nina shuhuda ila siwezi semea hapa.
Wanatakiwa wajue ili wapone lakini watakuamini?Wengi hawajui, wacha waendelee kutokujua.