Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Acha kabisaaa, huu ugonjwa shida yake ni kumeza dawa kila siku duh!!!
Wala si shida, ukifuata ratiba yako vizuri unadunda tu. Unakuwa hauna complications ndogondogo kabisa. Kuna watu wanagonga 20 yrs wanao na wako fit tu. Tunaogopaga kujianika kwa sababu unyanyapaa bado ni changamoto
 
Hiyo ni miaka tangu mtu amejijua anao, maana yake ni mtu mzima sana tu. Yaani tangu 2006 na bado life linasonga tu.
Shuhuda kama hizi ndizo zinaniaminisha ngoma ipo😒
 
Kwa nini isiwepo, nina uncle wangu wife wake alifariki 1998 kwa hiyo changamoto. Na yeye alithibitishwa kuwa nayo. Mpaka leo yuko poa tu, alishaoa tena na watoto washakuwa watu wazima na wako salama tu.
 
Kuna kitu nimenotice, kwanini kwenye ukoo utakuta hata watu 5 wana ngoma ni kila ukoo hawa watu hawakosekani au ngoma ni kama roho akipata mmoja kwenye ukoo inafata na wengine🤔
 
Hapana, si kweli, kuna familia nyingi tu hazina hiyo changamoto. Ingawa wananchi wote wakiamua kupima kwa hiari takwimu zitakuwa juu sana. Maambukizi yanaongezeka sana, wagonjwa hawaonekani tena kwa macho, ARV zimesaidia sana kupunguza watu kufikia stage ya UKIMWi, wengi wamebaki kwenye stage ya HIV tu.
 
By the way UKIMIWI UNAPONA FRESHI TU ILA NI SECRET, nikimkumbuka yule mzungu daah
 
Kuna kitu nimenotice, kwanini kwenye ukoo utakuta hata watu 5 wana ngoma ni kila ukoo hawa watu hawakosekani au ngoma ni kama roho akipata mmoja kwenye ukoo inafata na wengine🤔
Sio kweli labda kuwe na tabia za kufanana za kupenda ngono bila kujijali
 
Back
Top Bottom