Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Mkuu hongera tena kwa kufungua uzi
Naamini ni tiba pia kwako, yale yote uliyokua unatamani kuongea na mtu lakini ulishindwa sababu wanakujua, kuhusu hali yako, naamini utakua unaporomosha hapa mdogomdogo ili moyo upate nafuu
 
Haha wewe Pro,kwa picha hizi utafanya nirudie mchezo pendwa wakati nimeacha muda mrefu sana,Nashukuru siku ya pili leo sijafanya..
Mkuu haujaacha , wewe umepumzika tu ile kitu huwa haiachwi, unapumzika tu.
 
Tangu nimeanza kwichi kwichi,sijawahi kufanya bila Mpira,.naogopa Mimba kuliko hiyo Ngoma,

Kuna Mrembo nimekutana nae Zanzibar Mwezi Jana,Kaniambia Ana Maambukizi,kumgusa naogopa,,Kumuacha naona nitadhulumu nafsi,Mtoto yupo kama Amandla Stenberg
Nilimwambia asile, ye akala akavimba akajaa...
 
Nishawahi kumuona mtu aliyelazwa kitandani na huo ugonjwa, ndio maana naelewa anavyojisikia
Tumfariji tu mwenzetu
Ila akitumia dawa kwa ufasaha na kula vizuri utakufa umwache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…