Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Hivi kwa mfano saizi uvichukue vile videmu vipisi kali vinavyopiga picha za kujibinua kwa nyuma kama kumi hivi ukavipime mdudu angaza unazani wangapi watakuwa salama?
 
Kwa ugumu nilionao wakimaisha binafsi sifikirii kuendelea kupima pima afya yangu , naamini nitaishi mara mo na nitakufa mara 1 ,so ni vyema niishi bila kuhangaishana na dawa za hapa na pale.
Mi nimeenda hospital nilibanwa na kikohozi Dokta akasema anipime nikakubali kilichotokea magonjwa rundo typhoid, UTI, sukari, pressure nikamwambia Dokta nitibie kikohozi kilichonoleta hayo mengine siku nyingine.
 
Hivi kwa mfano saizi uvichukue vile videmu vipisi kali vinavyopiga picha za kujibinua kwa nyuma kama kumi hivi ukavipime mdudu angaza unazani wangapi watakuwa salama?
Unawezakuta 3/10. Ukimwambia mtu akimwi upo anasema ni kama malaria ila akiupata ndo anajua hii sio malaria
 
Kama unajijua hujatulia basi tumia Kinga au mwambie mwenzieo atumie Kinga. Wengi wanapeana Ukimwi sababu ya kuendekeza ngono zembe na unafiki wa kutoambiana ukweli kwenye mahusiano.
💯💯💯. Hapo umenena.
 
Wewe ni shujaa wa kuzichakata? Maana mimi sio..

Mimi siyo bingwa wa hiyo michezo ya kujimaliza.
Kuna watu hapa JF wana utalaam wa kuchakata mbusisi kimasihara. Huwa nawaangalia, huku nashangaa. Hivi wanajua kweli uhusiano uliopo kati ya kuchakata na kuanza kuwa mwanachama wa kudumu wa arv?
😛
 
Watu wenye ukimwi wanaishi kwa amani sana kushinda ambao hawana

Sema wew jamaaa ulikuwa ynaringa sana pale mgodini kutuchapia mademu zetu bora ulivyo waka
 
Mimi siyo bingwa wa hiyo michezo ya kujimaliza.
Kuna watu hapa JF wana utalaam wa kuchakata mbusisi kimasihara. Huwa nawaangalia, huku nashangaa. Hivi wanajua kweli uhusiano uliopo kati ya kuchakata na kuanza kuwa mwanachama wa kudumu wa arv?
😛
Mkuu,
Huu ugonjwa ni very technical, unaweza kumpata aliyejaribu kwa mara ya kwanza leo, unaweza kumpata aliyetulizana na kumuacha mzoefu wa kuchakata bila pira. Tuzidi kuwa makini tu ila hakuna "constant" kabisa.

Halafu, wengine ni wanogesha kijiwe tu wapo sio wachakataji kivile.
 
Wanawake wengi wazimu ukiwapanda hawakumbuki na Kinga tena anashika rungu anatumbukiza mwenyewe aiseee ni hatari sana
 
Hii issue haijapigiwa campaign vizuri, watu ni kuchekacheka tu, wanaona rahaaa, tunateketea kama taifa.
Wee jamaa ninakupongeza sana kwa hii mada.
Imeelimisha wengi na kuwaamsha pia.

Wanaokushambulia binafsi wapuuze kwani ni ile kada ya watu wasioweza kutofautisha kati ya MADA na MLETA MADA.
 
Wee jamaa ninakupongeza sana kwa hii mada.
Imeelimisha wengi na kuwaamsha pia.

Wanaokushambulia binafsi wapuuze kwani ni ile kada ya watu wasioweza kutofautisha kati ya MADA na MLETA MADA.
Tuelimishane, tusaidiane, tusipotoshane wala kubaguana hili ndo jambo la muhimu. Akhsante🙏
 
Demu umekutana nae bar, au umekutana nae kitaaa mmezuena kidogo tu unamla kavu ivi unajua background yake aisee mm bila ndomu sijanyi aisee ata kwa panga ,nyie wenzangu mnaujasiri Gani wakupiga kavu
 
Back
Top Bottom