Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Jasho hapana, yumkini hakutumia groves wakati anamfanyia huduma, tatizo waafrika sisi n wajinga sana, mtu anahisi akitumia groves itaonesha kuwa hampendi mama/ndugu yake.​
Hapo nimeelewa
Point ya muhimu niliyoipata ni kwamba kubadilishana mate ni mwiko
 
Vipi kuhusu jasho?
Kuna mwanamke namfahamu, mama ake alikua mgonjwa akawa ameenda kumuuguza mpaka alipofariki
Alivyorudi kwa mumewe alipewa talaka saba
Sasa sex bila kubadilisha mate ni sex kweli?
 
Mate ndo kila kitu, ninyime vyote ila si mate weeee! Safisha tu kinywaa vizuri, hakikisha unatumia Colgate wala hakuna matata
 
Mate ndo kila kitu, ninyime vyote ila si mate weeee! Safisha tu kinywaa vizuri, hakikisha unatumia Colgate wala hakuna matata
Michubuko je? Hujali
Mimi mara nyingi nimekua nikihisi michubuko baada ya kubrush teeth
 
Ni kweli, kama huwezi kujilinda nani ataweza kukulinda?
Kwanini hii sentensi inapendwa sana
Mtu anaumwa ukimwambia walinde wengine anajibu "kujilinda ni jukumu lake sio langu"
 
Back
Top Bottom