Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Sasa mkuu mfano, mimi na wewe
Mimi nakua sijui kama wewe ni mgonjwa halafu nakwambia sitaki ndom so utapiga kavu?
Tena kwa kabinti kenye muandiko mzuri hivi kama wewe hata sijiulizi mara mbili
 
Hakutakuwa na michubuko bn, sintafanya kwa kukomoa, mapenzi ni rakha sio kukomoana. Anyway natumia dawa vzr uwezekano wa kukuambukiza uko low sana
Dah..! So hujali hata nikipata maambukizi au lah?
 
Demu umekutana nae bar, au umekutana nae kitaaa mmezuena kidogo tu unamla kavu ivi unajua background yake aisee mm bila ndomu sijanyi aisee ata kwa panga ,nyie wenzangu mnaujasiri Gani wakupiga kavu
Acha uoga kijana kamua
 
Kwanini hii sentensi inapendwa sana
Mtu anaumwa ukimwambia walinde wengine anajibu "kujilinda ni jukumu lake sio langu"
Mim jamaa nimemuelew vizur saaana
Ukijijua wew ni mzima huna ngoma bas ni jukum lako kukumbusha kondom kama sio ivo bas mpime haijalish ni WA kiume au wakike! Tofaut na mtu akijujua mgonjwa kondom sio rahis saan kuzingatia
 
Af huu mzigo upo juz nipo kituo x cha afya Kuna mwamb kaja na mke wake kupima kakuta wamewaka story za hapa na pale mke kakubal yey ndo kauleta ndani ya nyumba aseee mungu atusadie
Zamani nilikua najua ukikutwa na ngoma hautokula nyama
Kumbe wenye ngoma ndio wanaoongoza hiyo sekta
 
Back
Top Bottom