Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Pole Sanaa brother Mungu aendelee kunilinda ila hii kitu inaniliza sanaa familia yangu inateketea sanaa nimesoma machoz yamenitoka umeandika kirahis ila najua moyon ukoje nauguza ndugu zangu na mie siijui kesho yangu dah 😢😢
 
Usikate tamaa ndugu, kubaliana na hali, jipe moyo kila kitu kitakuwa sawa tu. Asante sana
 
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?

Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya mgodini, na kugundulika kuwa nina maambukizi, taarifa hiii ilikuwa mbaya sana kwangu ila baada ya hapo nilizoea na sasa naishi vyema kwa matumaini.

Twambie wewe mdau ulijisikiaje?

NB: Tutumie lugha safi yenye staha, tusibaguane wala kunyayapaana.

Akhsante.
Ulikua je unaumwa au hukuhisi chochote
 
Kuna haka ka ajenda ka mara kwa mara ka kuhamasisha watu waachane na mwamnyeto kwa mbali kanapromoti UKIMWI

Kama huna D mbili huezi elewa
 
Nilichekecha dozi ya typhoid zile dawa zina harufu asee .. niliona siku tano kama mwezi, sipati picha wanaokula dawa deile
 
Huu uzi sijawahi kuuona daah

Hongera mkuu kwa ujasiri lakini pia binafsi nimeona watu wenye virusi vya ukimwi ambao wameishi muda mrefu tu. Na kuna wengine waliofariki kipindi ambacho elimu na huduma za afya hazikuwa kama sasa. Kwa hiyo naelewa virusi vyaweza kuonekana kama ugonjwa mkubwa sana lakini ni ugonjwa wa kawaida haswa kutokana na miundombinu ya afya kwa sasa.

Pia nina young brother ambaye nilikutana nae humu mwenye situation kama yako lakini yupo powerful na ananipa inspiration ya maisha sanaa.

Natumai ipo hivyo kwa upande wako pia. Mungu azidi kukuimarisha kaka
 
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?

Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya mgodini, na kugundulika kuwa nina maambukizi, taarifa hiii ilikuwa mbaya sana kwangu ila baada ya hapo nilizoea na sasa naishi vyema kwa matumaini.

Twambie wewe mdau ulijisikiaje?

NB: Tutumie lugha safi yenye staha, tusibaguane wala kunyayapaana.

Akhsante.
Juma1960 Joshua_ok pamoja sana
 
Back
Top Bottom