Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Sawa, tuwe makini. HIV ipo

Kinachosikitisha ni kwamba wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI ,wao wanazingatia maokoto tu,na hao ndiyo chanzo cha kusambaza grid kwa fujo ,Demu mmoja anaweza kusepa na kijiji cha watu hata 10.

Yaani wanakwambia magonjwa ya kuogopa ni cancer,kisukari,pressure etc kama walivyoambiwa na AGgrey Pita Kule.
 
linda tundu la mkojo lisigusane na utelezi (mucous membrane) alafu usinyoe na wembe utajikata then utelezi ukigusa pale wanapenya mpaka ndani...kama hauna C ya BIOS huwez elewa
 
linda tundu la mkojo lisigusane na utelezi (mucous membrane) alafu usinyoe na wembe utajikata then utelezi ukigusa pale wanapenya mpaka ndani...kama hauna C ya BIOS huwez elewa
Kuwa makini ndg
 
Kweli wewe bichwa tupu.....HIV Virus ni fragile virus .....hivyo ni ngumu kupata n akikupata ni ngumu kutoka naamini una fahama maana ya neno PH

So hiv virus ili kumpata mtu vifuatavyo vinaitajika

1 . Right Ph
2.right temperature
3.right amount of hiv virus


So haya yote lazima yawe sahihi ndo kinaweza kwenda kwa mtu mwingine ndo maana flagile virus yaani ni rahis kufa kikowa nje ya mazingira yake sahihi

Tofauti ni virus kama vya covid ....au virus vya red eyes mfano tu..

Wataalam virology wanajua sana pia experties wa HIV ila wajinga kama wewe huwa mnapotosha jamiii
Hiyo Right Temp, ph na amount ni ipi? Mwenzio anaweka facts zote wazi na sababu zake wewe unasema righ, bla bla bla then unalazimisha watu wakuafiki.

Ukimwi utaua wale wasiotaka nywele za vichwa vyao kurudi nyuma cm chache kutengeneza komwe kama langu na bichwa komwe. Ila wanaopenda kushirikisha akili na kureason Huo ukimwi, sijui kifaduro na takataka zingine zinawaogopa, na zitawaogopa kama Moto.

Mimi tangu mdogo nilishajua Ukimwi ni Scam na miaka yote nashiriki Mapenzi na watu tofauti sijawah tumia manati.🧘😀. (Zaid ya miaka 10) na wengi ninaokuwa nao faraghani huwa nawapa elimu hii nao wanatupa hayo madubuasha.
 
Ila sikuhiz wanaokufa Wanakufa na kilo zao tele sio mifupa tena. Ndio maendeleo yaliyofikiwa mpk sasa.
 
Mkuu hongera kwa kuushinda ukimwi...kama umeweza kuukubali basi umeushinda. .
Wengine tumepenya penya kwa neema za Mungu mpk leo hatuna ni jambo la kumshukuru Mungu sio kwa nguvu zetu...
Asante sana. Jilinde ña uwalinde uwapendao HIV ipo.
 
Naamini unajilinda, asante
Huu uzi sijawahi kuuona daah

Hongera mkuu kwa ujasiri lakini pia binafsi nimeona watu wenye virusi vya ukimwi ambao wameishi muda mrefu tu. Na kuna wengine waliofariki kipindi ambacho elimu na huduma za afya hazikuwa kama sasa. Kwa hiyo naelewa virusi vyaweza kuonekana kama ugonjwa mkubwa sana lakini ni ugonjwa wa kawaida haswa kutokana na miundombinu ya afya kwa sasa.

Pia nina young brother ambaye nilikutana nae humu mwenye situation kama yako lakini yupo powerful na ananipa inspiration ya maisha sanaa.

Natumai ipo hivyo kwa upande wako pia. Mungu azidi kukuimarisha kaka
 
Acha kabisaaa, huu ugonjwa shida yake ni kumeza dawa kila siku duh!!!
Shida siyo kumeza dawa, shida kuipata hiyo dawa. Maana ni siku maalum na ukifika hospitali kuna sehemu maalumu ya kuchukua hizo dawa. Hebu imagine siku ya kwanza kuhudhuria clinic, watu utakao kutana nao pale
 
Shida siyo kumeza dawa, shida kuipata hiyo dawa. Maana ni siku maalum na ukifika hospitali kuna sehemu maalumu ya kuchukua hizo dawa. Hebu imagine siku ya kwanza kuhudhuria clinic, watu utakao kutana nao pale
Sio lazima uende hospital unayojulikana, wengi huchagua hospital za mbali kidogo walau kulinda faragha.
 
Vizuri! Kwa jinsi hali ilivyo unaweza fikiri hakuna HIV mpaka pale utakapoipata ndo utajua IPO na inaua ndoto za vijana wengi. Kama hujaathirika jilinde SANA.
Mungu atasaidia kwa uwezo wake na mimi nitafanya kwa uwezo wangu maana si kila aliyeupata au akajipata kwenye majanga makubwa zaidi hakujilinda. Sometimes ni maisha tu
 
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?

Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya mgodini, na kugundulika kuwa nina maambukizi, taarifa hiii ilikuwa mbaya sana kwangu ila baada ya hapo nilizoea na sasa naishi vyema kwa matumaini.

Twambie wewe mdau ulijisikiaje?

NB: Tutumie lugha safi yenye staha, tusibaguane wala kunyayapaana.

Akhsante.
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom