Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiogope rafiki anaejua kesho yako na hatma ya masha yako ni Mungu, so dont be afraid with HIV, in evrything you do consult God, Mungu ndio kila kitu, unaweza ukawa na HIV ukaishi vzr kwa Neema ya Mungu na mwisho wa siku Mungu akukondolea hilo li'HIV. Usiohope HIV muamini ndiye aliyebeba maisha yako na kuhusu ndugu zako wasaidie na hakuna chochote kinachoendelea kati yao na wewe, watumie dawa zao tu vizr.Pole Sanaa brother Mungu aendelee kunilinda ila hii kitu inaniliza sanaa familia yangu inateketea sanaa nimesoma machoz yamenitoka umeandika kirahis ila najua moyon ukoje nauguza ndugu zangu na mie siijui kesho yangu dah 😢😢
Kuna ajali pia damu yako ikagisa damu ya mtu mwingine, kikubwa ni kumuomba Mungu na kujitunzaKujilinda ni kutoruhuru kugusana na utelezi wa aina yoyote tofaut na geisha
Kupokea majibu ni hatari sana kwa kweli, ukipata majibu positive hapo ndio mwili unaanza kushake na kuporomoka lakini kabla ya majibu unaweza ukawa vzr, ndio utaelewa kuwa kinachowaua watu ni hofu baada ya kujiona wanamaambukizi akili ikaruka ghaflaJuzi tu hapa nimeenda hospital kupima, Wakati nasubiria majibu nikasema acha nitembee tembee kidogo heee! Nkajikuta nipo nyumbani!. Kupima si mchezo
Ulikua je unaumwa au hukuhisi chochote
Kabisa ni ugonjwa wa kawaida kabisa kama ugonjwa mwingine, kuna watu wanakunywa dawa za sukari au pressure kila siku huwezi kufananisha na wanaokunywa ARV, yaani HIV wala haina usimbufu kabisa ila mapokeo tu ya watu kwamba ni ugonjwa hatari sana. Ila ikishaanza kuja ile dawa ya miezi sita yaani unachomwa sindano moja unakaa miezi sita itasaidia sana kama ilivyo South Africa, wenzetu kule wana dawa za muda mrefu ambapo wanachoma sindano wanakaa miezi sita wanachoma tena, na huku itafika na itawasaidia wengi hasa wale wanaosahau kumeza dawa.Huu uzi sijawahi kuuona daah
Hongera mkuu kwa ujasiri lakini pia binafsi nimeona watu wenye virusi vya ukimwi ambao wameishi muda mrefu tu. Na kuna wengine waliofariki kipindi ambacho elimu na huduma za afya hazikuwa kama sasa. Kwa hiyo naelewa virusi vyaweza kuonekana kama ugonjwa mkubwa sana lakini ni ugonjwa wa kawaida haswa kutokana na miundombinu ya afya kwa sasa.
Pia nina young brother ambaye nilikutana nae humu mwenye situation kama yako lakini yupo powerful na ananipa inspiration ya maisha sanaa.
Natumai ipo hivyo kwa upande wako pia. Mungu azidi kukuimarisha kaka
HayaaaJuzi tu hapa nimeenda hospital kupima, Wakati nasubiria majibu nikasema acha nitembee tembee kidogo heee! Nkajikuta nipo nyumbani!. Kupima si mchezo
Kapime mshamba Eee,,, Ma nina unalo😃😃😃Nmeishaa
hizi nywele kama za mburushi
Hata ikija mkuu 😃😃Kabisa ni ugonjwa wa kawaida kabisa kama ugonjwa mwingine, kuna watu wanakunywa dawa za sukari au pressure kila siku huwezi kufananisha na wanaokunywa ARV, yaani HIV wala haina usimbufu kabisa ila mapokeo tu ya watu kwamba ni ugonjwa hatari sana. Ila ikishaanza kuja ile dawa ya miezi sita yaani unachomwa sindano moja unakaa miezi sita itasaidia sana kama ilivyo South Africa, wenzetu kule wana dawa za muda mrefu ambapo wanachoma sindano wanakaa miezi sita wanachoma tena, na huku itafika na itawasaidia wengi hasa wale wanaosahau kumeza dawa
Hofu inaua kuliko ugonjwa mwenyewe. 👍Ukimwi unaweza ukaupata na usiumwe kwa muda hata miaka kumi, ukishajua tuu ile hofu ndio itakusababishia immunity kushuka lakini ukijikubali na kula vzr na dawa unakaa vzr kwa kweli
Ni Uzi wenye ujumbe kwa jamii, sote tujilinde. Asante🙏Huu uzi unatembea tu. Upo bado, safi muandishi
Hivi unawezaje tambua una virusi kama hujapima. Saying so. Kuacha zile sababu zipo hata google. The truth, huwa unaweza juaje.Ni Uzi wenye ujumbe kwa jamii, sote tujilinde. Asante🙏
Mienendo. Mwenendo wako ndo utakupa hofu na hamasa ya kupima. Pia Reaction ya mwili kwa magonjwa inatofautiana, unaweza pata leo ukakaa mwezi tu ukahisi utofauti, ingawa wengine wanakaa hata 5 years or more bila kuhisi chochote mpaka siku wakipima.Hivi unawezaje tambua una virusi kama hujapima. Saying so. Kuacha zile sababu zipo hata google. The truth, huwa unaweza juaje.
Maana vijana wanajiachia tu, leo kapata demu karuka nae kesho hivo hivo. Hivi huwaga vpi?
Tumefikia mbali wengine huangalia sana mwanamke aliyezaa nae. A year or two. Hakukua na ukimwi hivo yuko sawa.
The bad part wengine wanaangalia kapima homa au malaria hajakutwa na ukimwi.
Hivi ukimwi ni kipimo tofauti?
Naomba Muongozo.
Pia Wanaume wengi ni waoga kupima, na waliooa hupima kupitia wake zao.Hivi unawezaje tambua una virusi kama hujapima. Saying so. Kuacha zile sababu zipo hata google. The truth, huwa unaweza juaje.
Maana vijana wanajiachia tu, leo kapata demu karuka nae kesho hivo hivo. Hivi huwaga vpi?
Tumefikia mbali wengine huangalia sana mwanamke aliyezaa nae.
Nilisikia watu wenye MIWAYA mnakuwaga wakali. Nimeamini sasaSasa mmefata nini kwenye huu Uzi?
Binafsi nime pima kupitia wife wakati yupo mjamzito .siwezi wala sita wahi kwenda kupima aseeWa
Pia Wanaume wengi ni waoga kupima, na waliooa hupima kupitia wake zao.
Mkuu hii isije kuwa chai nisamehe lakini ,kwasababu hadi ifikie dalili hizo maana yake hiv ipo kwenye late stage yani umepata muda mrefuKupata joto sana, haswa nyakati za usiku
Kichwa kuuma kidogo kidogo japo mara kwa mara
Kukohoa kikohozi kikavu pia kinazidi nyakati za usiku
Homa za mara kwa mara
Kupungua uzito
Kuna mda nywere zinakuwa kama umewekea dawa zile za wanawake (ukizishika tu unahisi, huhitaji kuambiwa)....