Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Mkuu hii isije kuwa chai nisamehe lakini ,kwasababu hadi ifikie dalili hizo maana yake hiv ipo kwenye late stage yani umepata muda mrefu
Mkuu, achana na kupata, vipi ulishawahi walau kuhisi tu kuwa una HIV?
 
Nilisikia watu wenye MIWAYA mnakuwaga wakali. Nimeamini sasa
punguza utoto, as long as una nyama na damu kila siku ukiamka salama shukuru mungu, na ugonjwa ni ugonjwa tu binaadamu yoyote yupo kwenye risk ya kupata ,usimdhihaki mtu kwa madhaifu yake hata siku moja juu ya ardhi, hadi siku ukiwa umekufa anything can happen kwa binaadamu at anytime
Umemuona steve jobs na utajiri wake wote alipoanza kuumwa cancer alihangaika hadi akaenda kwa mganga india pamoja na akili zake zote zile na haikumsaidia kitu akafa,ndio uone utukufu wa mungu
Ukimuona mtu yupo kwenye shida yoyote usimcheke au kumsema ,muombee heri atoke kwenye hiyo shida ,ukimuombea yeye umejiombea wewe
 
Mwenye uzi kanielewa halafu wewe unakuja kunibwatukia kipumbavu. Wewe utakuwa muathirika mpya na umeupata kwa njia ya kulawitiwa
 
punguza utoto, as long as una nyama na damu kila siku ukiamka salama shukuru mungu, na ugonjwa ni ugonjwa tu binaadamu yoyote yupo kwenye risk ya kupata ,usimdhihaki mtu kwa madhaifu yake hata siku moja juu ya ardhi, hadi siku ukiwa umekufa anything can happen kwa binaadamu at anytime
Umemuona steve jobs na utajiri wake wote alipoanza kuumwa cancer alihangaika hadi akaenda kwa mganga india pamoja na akili zake zote zile na haikumsaidia kitu akafa,ndio uone utukufu wa mungu
Ukimuona mtu yupo kwenye shida yoyote usimcheke au kumsema ,muombee heri atoke kwenye hiyo shida ,ukimuombea yeye umejiombea wewe
👍🙏
 
Jifunze kujenga hoja sio matusi , unapofungua mdomo kuongea au kuandika kitu it tells alot about urself, it defines u
Mpuuzi kweli. Sikukutag wala kukutafuta. Kipele chako kujia comment yangu ilhali nimemjibu mleta mada. Au ni basha wako
 
Back
Top Bottom