isaya gidion
Member
- Dec 4, 2017
- 7
- 0
Yaani mwaka mzima 10 million iniingizie only two million?Habari wana JF nahitaji kukopa milioni 10 kwa riba ya shilingi milioni mbili kwa mwaka mmoja so nakopa milioni 10 narejesha m12 ndani ya mwaka mmoja mwenye kufaham waoi wanakopesha anifahamishe namba ya simu ni 0759212578
Benki zinawasubiri watu wa kukopa we upo huku ahaaa.Habari wana JF nahitaji kukopa milioni 10 kwa riba ya shilingi milioni mbili kwa mwaka mmoja so nakopa milioni 10 narejesha m12 ndani ya mwaka mmoja mwenye kufaham waoi wanakopesha anifahamishe namba ya simu ni 0759212578