Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Mkuu siku zote generalization huwa ni mbaya sana kuna mwingine una mpa anarudisha
 
jamani nahitaji mkopo wa laki 1 online kama nitapewa najaza taarifa zangu zote. kama Luna taasisi ipo
 
Habari wana JF

Nahitaji kukopa milioni 10 kwa riba ya shilingi milioni mbili kwa mwaka mmoja so nakopa milioni 10 narejesha m12 ndani ya mwaka mmoja mwenye kufaham waoi wanakopesha anifahamishe namba ya simu ni 0759212578
 
Habari wana JF nahitaji kukopa milioni 10 kwa riba ya shilingi milioni mbili kwa mwaka mmoja so nakopa milioni 10 narejesha m12 ndani ya mwaka mmoja mwenye kufaham waoi wanakopesha anifahamishe namba ya simu ni 0759212578
Yaani mwaka mzima 10 million iniingizie only two million?
 
Habari wana JF nahitaji kukopa milioni 10 kwa riba ya shilingi milioni mbili kwa mwaka mmoja so nakopa milioni 10 narejesha m12 ndani ya mwaka mmoja mwenye kufaham waoi wanakopesha anifahamishe namba ya simu ni 0759212578
Benki zinawasubiri watu wa kukopa we upo huku ahaaa.
 
Wakuu habari!, nahitaji mkopo wa muda mfupi kwa miezi miwili kiasi cha milioni tatu na laki tano tu,dhamana ni nyumba ambayo haijaisha ila imepigwa bati tyari ipo kerege bagamoyo
 
Naomba ufafanuzi juu ya kampuni ya kutoa mikopo ya credit fund.
 
Nahitaji mkopo laki1.5 tu narudisha baada ya wiki
 
Back
Top Bottom