Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Yaani mkopo utake wewe,na taratibu ujipangie mwenyewe,,,hakuna mkopo wa hivyo duniani,hata WB tu wanamasharti yao ndo sembuse MTU asiyekufahamu...
Teh teh teh!! Nimecheka sana na nahisi ndio anavyojua ivyo
 
Wakuu habari naulizia kampuni inayotoa mikopo kwa dhamana ya vyeti ni hivyo tu ahsante
 
Watanufaika na nini na hiyo IV yako?
 
Sasa ukishindwa kulipa, vyeti vyako wataviuza wapi ili waweze kurudisha pesa yao!? ukizingatia hivi sasa vyeti feki havina soko!!!
 
Ukipata mkopo kwa dhamana ya vyeti nishtue na mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nahitaji mkopo kwa kweli!
 
Mkuu tafuta plan B tu hapo utakaaa sana
 
Dogo yuko serious kweli. Acheni kujoke.
 
Ukipata mkopo kwa dhamana ya vyeti nishtue na mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nahitaji mkopo kwa kweli!
Akikujibu unitag please..hahaha
 
Hali ngumu hadi mtu anataka aweke vyeti Bond?

Ila wenye nchi wanasem uchumi umekua
 
Peleka NECTA vikithibitiswa njoo Longido nikukopeshe ova...!
Mkuu ni Necta au Nacte? Maana yeye kazungumzia cheti cha chuo na sio form four/six
 
Habari wanawajasiriamali wafanyabiashara na wadau wote wa jukwaa hili.

Je naweza kupata mtu ambae anakopesha kwa riba au au mwenye info zozote za upande wa hitaji hilo, kama yupo sio mbaya ukajongea PM kwa maongezi zaidi.

Nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…