Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,778
Utampata wa level yake, ambaye kazi yake ni kuuza mataputapuNahitaji Binti Wa Kinyarwanda Aje AniSPY
Hata mimi ni kiongozi wa usalama
KAMANDA WA ULINZI SHIRIKISHI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utampata wa level yake, ambaye kazi yake ni kuuza mataputapuNahitaji Binti Wa Kinyarwanda Aje AniSPY
Hata mimi ni kiongozi wa usalama
KAMANDA WA ULINZI SHIRIKISHI
Kama nakuona vile ulivyo taja hilo neno ma-ta-pu-ta-puUtampata wa level yake, ambaye kazi yake ni kuuza mataputapu
Nimegundua wabongo wanaifuatilia Rwanda kuliko nchi yoyote ile afrika, humu jukwaani haipiti wiki lazima utaona uzi mpya kuhusu rwanda
Kweli una spy nchi mnayo karibia kufanana nakuligana kiuchumi ili upate nini of all "countries uspy tz" ni ukozefu wa ajira na kaziYaani huw nacheka sana kila wiki kuna nyuzi ya Rwanda na inaonekana wengu hum ni laymen hawana la kufanya ugumu wa maisha umewafanya waanze kuhisi kuna mtu kawashikia maisha Magufuli walimchagua wenyewe wapambane na Hali Zao eti spies wanini hao spy Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu uko kwenye system? Kama humo kwenye system waachie wenyewe. Maana hii nchi nayo si haba. Watamalizana juu kwa juu.hatujaina impacts zao mpk sasa.
Acha stori za kitoto
Yaani huw nacheka sana kila wiki kuna nyuzi ya Rwanda na inaonekana wengu hum ni laymen hawana la kufanya ugumu wa maisha umewafanya waanze kuhisi kuna mtu kawashikia maisha Magufuli walimchagua wenyewe wapambane na Hali Zao eti spies wanini hao spy Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pep Gurdiola alikuwa mwanafunzi wa Ferguson katika soka lakini 2008 akiwa kocha wa Barcelona alimuabisha mwl wake mzee Alex FergusonMkuu Tanzania ni nchi makini sana wote hao wamejifunza kwetu. Na nchi nyingi za Africa zimejifunza uspay kutoka kwetu. Na ukiangalia viongozi wengi wa Africa wametokea bingo.
Jiwe katokea wapi???hatujaina impacts zao mpk sasa.
Acha stori za kitoto
SureWaache waje tuwazalishe maana hakuna namna
Hivi mademu wa Rwanda wangekuja Bongo wote tungewazalisha kungekua hamna vipya baada ya kufikiria u spy huo mda wangefikiria watoto wao watakula mini watavaa nini as usualKumekucha baadhi ya maeneo lakin kwingineko bado ni usiku na kwingineko inaelekea mchana,
Katika kazi zangu nimepata bahati ya kukutana na dada mmoja jina ntamuita code name MNBQX
Huyu dada Tumekuwa naye katika kazi mbali mbali Kwa miaka minne iliyopita, na bahati nzuri huwa tunakutana mara Kwa mara , kulingana na nature ya kazi
Tumebahatika kuwa marafiki wa kawaida maana tunatokea ukanda mmoja wa Africa mashariki,
Baada ya kunizoea Sana na kugundua baadhi ya mambo kwake na yeye kugundua kwangu, kaamua kuuza timu,
Lakin kulingana na aina ya habari alizonipa inabidi niandike Kwa umakini Sana kuweza kuficha baadhi ya mambo,
Uzi huu utakuwa na update za mara Kwa mara kulingana na umakini wa kuedit alichoniambia na kutumia mbinu ya Hali ya juu kuwasilisha ujumbe bila kuweka bayana mambo yote wala wahusika kujulikana moja Kwa moja,
Lakin hii itakuwa somo Kwa Nchi zinazomzunguka Rwanda na wanaojipendekeza Kwa Rwanda ,
Kaa ukijua Rwanda ina agenda ya Siri ambayo si wanyarwanda wote wanajua
Asilimia 60 ya wanyarwanda ni ma spy na asilimia 70 ya wanyarwanda walio nje ya Rwanda ni ma spy katika mataifa waliopo,
Kwanini Rwanda afanye uspy? Hasa Kwa nchi hizi masikini kama Tanzania, Uganda ,Burundi na Kongo? Atafaidika nini? Yote hayo utayajua,
Miez Saba iliyopita nilibahatika kukaa na huyo mdada Kwa ajili ya story za kina Sana juu ya Rwanda , na nilimueleza baadhi ya mambo niliyogundua kwake , ilikuwa ngumu kuniambia na alisita na hakutaka na akabadili kabisa story kabisa,
Week moja baadae nikamkuta na reports ambazo zimeandikwa Kwa kinyarwanda, na mara zote anajua sijui au sielewi kinyarwanda,
Maelekezo hayo yalikua ya kutimiza mambo ndani ya Uganda wakati wa Uchaguzi mkuu ulio pita ,
Maeneo tajwa ni Kyengera, Busega kasese na nansana,..
Kwa chaguzi za Tanzania katajwa mchingaji mmoja R.I.P kukwamisha hatakati hizo,
Imetajwa Dodoma, karagwe , chalinze Dar es salaam , morogoro,
Katajwa Joseph Nimi alokamatwa pale hoteli mwanamboka,
Umetajwa mfumo wa kuhesabu Kura na technologia
Baadae akagundua naelewa kinyarwanda kulingana na habari nazo muuliza akaona nimeshajua mengi mno akaniweka wazi kwa kuwa anajua tuna mambo mengi tumefanya pamoja
Na ananitegemea Sana kukamilisha Jambo ilo
Akaniweka wazi kwamba Rwanda wakijikuta wakiitumia njia Inaitwa "kyambugu method" ili kufanikisha ushushushu maeneo mbali mbali Africa,
hapa wanaume ma handsome walitafutwa Kwa Hali na mali ili kuwatumia, na walikuwa na mvuto kweli wakawa wanatumwa nchi nyingine kuwatongoza wanawake masekretari/karani wa ofis mbali mbali na kupata taarifa sahihi kabisa wanazotaka, maana ilikuwa ngumu kuwatumia wadada kuomba kazi nchi hizo kwakuwa na ugumu wa uraia,
njia pekee ni kutumia wanaume wenye pesa, Vipaji na mvuto kukamilisha kazi hiyo pia kama waliona sehemu haiingiliki hao wanaume ma handsome walitumia marafiki wapya wa kike kiwafanikishia Hilo jukumu Kwa kutongoza wanaume ambao wapo katika office,
Mtu maarufu katika kuwapa mafunzo alisema " Ni Rwanda iliyofanikiwa katika mfumo wa kuwahusisha wanawake katika mbinu za kiujasusi na ushushushu katika africa, waliwafundisha wanawake njia za kujitongozesha katika wanaume, msichana huyu alendeleaa alielezea story moja kuhusu Rwanda na jinsi wanavyowapata wasichana warembo mnoo kuweza kutumika katika ushushushu Kwa kuangalia video za porn na kuangalia jinsi wanawake wanaweza kuwavutia wanaume Kwa njia mbali mbali,
Jinsi ya kujifanya wanafunzi wa chuo na kuseduce watu maarufu,
Serikali ya Rwanda Imewalipia mpaka Ada vyuo mbali mbali na kuishia katikati Kwa kisingizio cha Ada kukatika,
Wamekuwa wakitumika mipakani na kuwapenda maafisa uhamiaji mpaka wa ngazi za juu,
Anaendelea kueleza jinsi ambavyo wanaweza wakawa katika mahusiano na maafisa wa jeshi
Katika mafunzo yetu , wakufunzi wetu wamesisitiza Kwa mara kwamba sisi ni Askari na silaha ni ni miili yetu, Tulikuwa tiyari kusinzia na kila mwanaume ili tupate taarifa sahihi, na tumekuwa tunafanya kazi Kwa Oder hata kama hutaki ukipata maelekezo lazima utimize dhamira hiyo ,
Tumefundishwa mbinu nyingine nyingi kama za mawasiliano
Steganogrpahy ambayo sisi tuliita WEKENGE hii ni mbinu ya kuficha taarifa kama unawasiliana na mwenzako unatuma taarifa Kwa njia ya meseji kuna maneno yanavyowekwa mpaka wengine hawaelewi unamaanisha nini
Nakumbuka wakati wa Mwaka 2005 wa Tanzania tulipewa maelekezo nami nikawa miongoni mwa watu waliokwenda Tanzania tukapanga safari mpaka Rusumo baada ya kufika pale tukakubaliana .......
Itaendelea maana hapa kuna majina natafta jinsi ya kuyawasilisha
Mtoto mzuri naomba unispy.Yaani huw nacheka sana kila wiki kuna nyuzi ya Rwanda na inaonekana wengu hum ni laymen hawana la kufanya ugumu wa maisha umewafanya waanze kuhisi kuna mtu kawashikia maisha Magufuli walimchagua wenyewe wapambane na Hali Zao eti spies wanini hao spy Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe utakuwa mhutu unataka kuleta chuki za kihutu tz sio kila mtutsi tz ni mnyarwanda acha mambo yenu huko usitake kupandikiza chuki zenu tzImpact utaijua tu ngoja ukuwe umri huo huwezi jua jaribu kuangalia wake wa wakuu wa nchi hizi za EAC ukiacha KE then shirikisha ubongo
HalikaHiyo mbinu hata USSR alitumia ila mwisho wake tuliuuon au wengin kuhadithiwa, time is the best FRIEND
Wabongo wanaenda si kwa kuspy
Mbona hizi mbinu siku nyingi yerico nyerere alishazisemaga mpaka yule rais wa alivyofanyiwa uhuni na warusi kwa kumtegea wadada warembo kwelikweli wakawa wanamrecordKumekucha baadhi ya maeneo lakin kwingineko bado ni usiku na kwingineko inaelekea mchana,