Maajabu mbn ayaishi...bongo.Mtiye moyo yeyote unaehisi anapitia gumu na unataka Mungu amfanyie wepesi
Naanza
1.Nawatieni Moyo watz wote katka kipindi hiki kigumu cha uchumumi
2. Namtia moyo mange kimambi aendelee na kazi ya kufunda watz wabovu
Mtie moyo yyte
Kutiana n buree...moyo
Naomba nikutie moyo uendelee kudocument maajabu yote bila kuchokaMaajabu mbn ayaishi...bongo.
Namtia moyo waziri wangu Angera KailukiNaomba nikutie moyo uendelee kudocument maajabu yote bila kuchoka
Naomba nikutie moyo we ndugu yangu usijekushtukaNawatia moyo wote wenye matatizo ya Moyo wapate mioyo mipya
Ukianza uzi wa kutiana damu mutanishtua maana kuna watu wana
upungufu wa damu
Matatizo yakikuzonga hata huyo Mungu unaweza kusema hayupo.Uzur ni kwamba Mungu alishatuandikia atampa kila mja riziki yake kwa wakat sahihi kuna muda tunaona afadhali ungepata kitu flani ingekua bora kumbe unaandaliwa kilichobora zaidi,
Tusikate tamaa, maadam tupo hai tusiache kipambana huku tukiomba Mungu afungue milango ya riziki kwetu
Tusiache kujipa matumaini ipo siku tutapata tunachokililia na kukisotea kwa mda mrefu, Mungu hujibu kila goti lipigwalo kwa nia thabiti
Mkuu dondosha hata kaushuuda kadogo.Huu uzi una nifaa
Usikufuru, matatizo yakobyasikufanye ukapetuka mipakaMatatizo yakikuzonga hata huyo Mungu unaweza kusema hayupo.