Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Natafuta MTU anayeweza kunipangia/kuweka mpangilio mzuri na unaoeleweka WA bithaa za kwenye min market dukani akiwa Dodoma itapendeza zaidi.

Nitaomba tutafutane DM
 
Natafuta MTU anayeweza kunipangia/kuweka mpangilio mzuri na unaoeleweka WA bithaa za kwenye min market dukani akiwa Dodoma itapendeza zaidi.

Nitaomba tutafutane DM
Usipompata nenda supermarket yoyote jifanye kama unabidhaa unataka kuwa supplier,hvo basi utapata muda wa kutazama na kuiga mpangilio....
 
KABATI ZA ZIPU ZA NGUO NA VIATU
Ni imara na zinapendezesha nyumba
Zipo za rangi mbalimbali
Wateja wa dar unaletewa buree
Unafungiwa pia buree

Malipo mpaka upate mzigo wako
Milango 2 tsh 65,000
Milango 3 tsh 75,000

Mawasiliano;
KUPIGA SIMU NA MESEJI 0766617283
WHATSAPP 0678562219

mm natafuta kabati kama izi lkn zile za plastiki kabsa
 
Projector 1 Epson nilinunua 840000
Generator elemax nilinunua 600000
Dstv 99000
Azam 145000
Mkui hapo bado hunaandika bei ya screens labda anatakiwa ziwe ngap.. hii biashara unaweza iona simple kumbe ni ghali hivi?
 
Ndugu naona connection hiyo miaka 9 sasa ni dereva wa roli
 
Mkui hapo bado hunaandika bei ya screens labda anatakiwa ziwe ngap.. hii biashara unaweza iona simple kumbe ni ghali hivi?
Screen sio chin ya mbili inategemea na location. Kuhus ghali ni kwel inabid uwe kam na m 3 hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…