Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Ungekua simiyu biashara ya mpunga ingekutoa sanaa,unakua na milioni yako 1 unanunua magunia yako kadhaa unayaweka ndani baada ya miezi kadhaa unakoboa unauza mchele. Fursa nzuri sanaa hyo nami hv soon nitaifanya maana ndo nyumbani huko.
Ninapenda nipewe connection ya biashara ya mazao ya chakula baada ya muda muafaka nije niyauze.
Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo biashara za kununua mazao kisha unaweka ndani nadhani zinahitaji mtaji mkubwa sana. Huwezi kuwa serious eti una million 1 ununue magunia ya mpunga uweke ndani utulie tu. Hiyo million 1 si bora utafute kazi ya kufanya angalau upate 10k kwa siku.
Ungekua simiyu biashara ya mpunga ingekutoa sanaa,unakua na milioni yako 1 unanunua magunia yako kadhaa unayaweka ndani baada ya miezi kadhaa unakoboa unauza mchele. Fursa nzuri sanaa hyo nami hv soon nitaifanya maana ndo nyumbani huko.
 
Hizo biashara za kununua mazao kisha unaweka ndani nadhani zinahitaji mtaji mkubwa sana. Huwezi kuwa serious eti una million 1 ununue magunia ya mpunga uweke ndani utulie tu. Hiyo million 1 si bora utafute kazi ya kufanya angalau upate 10k kwa siku.
Kweli kwanza m1 ukinunua gunia kumi tu mtaji unakua ushakata hii biashara unatakiwa uwe na mtaji mkubwa
 
Natafuta connection ya soko la samaki wabichi wa baharini( Seafood) napatikana kunduchi beach dsm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…