Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Usishee tena siku nyingine, juzi tu msichana wa Uganda amerudishwa na wheelchair toka UAE wamemtoa figo Waganda wakaja juu Waarabu wa Dubai wakasema yule mwajiri amlipe fidia ya mil 160Tzs wakati wamemuibia figo, maisha yake ni ya kumtumaini Mungu zaidi kwa sasaNamba za muhusika ziko hapo unaweza mcheki ukamwuliza direct kupata majibu sahihi zaidi,mimi nime share tu
I am still looking for any job. Fanya masahihisho ndugu.Steel am looking job any job please 0744883353
BeiFursaa ya vyombo kwa jumla na reja reja bei zetu ni nafuu sanaView attachment 2125121View attachment 2125122View attachment 2125123View attachment 2125124
Usishee tena siku nyingine, juzi tu msichana wa Uganda amerudishwa na wheelchair toka UAE wamemtoa figo Waganda wakaja juu Waarabu wa Dubai wakasema yule mwajiri amlipe fidia ya mil 160Tzs wakati wamemuibia figo, maisha yake ni ya kumtumaini Mungu zaidi kwa sasa
Mimi ninayo ya myonyo, jumla na rejareja karibuMafuta ya nywele asili naweza pata
Nauza piki piki ya watoto
Condition:used
Inatumia betri ya kuchaji (12v)
Ina music system (Usb port,aux,children songs and tales,memory card)
Tunafanya delivery popote
Mawasiliano 0764108259View attachment 2131991
Naomba msaada nahitaji kununua kwa jumla vifaa vya kielectronics kama earphones, memory card, flash, mp3, Bluetooth speaker, betry za simu n.k.
Kama kuna muuzaji wa vifaa hivyo au anaefahamu wapi vinapatika kwa bei nzuri tutafutane
0717 724 800
Ungesema upo mkoa gani ingekuwa rahisi kufahamishwa
Ni 400,000 bossPikipiki ya watoto milioni 40 mkuu ungepunguza kidogo
Mafuta hayawezi kuganda ndani ya mishipa iyo elimu watu waliibumba so bado imestik vichwan mwa watu. Mishipa ya damu huwa inapataga uchakavu ama tuseme ina kuwa dhaifu ila si kwa mafuta.Vip Kuhusu Afya kwa maama ya kuganda kwenye mishipa na kuleta Cholestro mwisho presh ya damu?? je umefanyia utafiti wa matokeo yake?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwan mtu akikwambia lehemu we unaelewa ninii? Mafuta yanasababisha lehemu kwakiwango kodogo sana maana lehemu inatengenezwa ndani ya mwili. Na lehemu n muhmu kwa mwili ila isizidi kile kiwango kinachotakiwa tu
Ngozi yangu ni ya mafuta ...Nauza Vipodozi jumla na rejareja
Kariakoo mtaa wa Mafia/Jangwani
View attachment 2096038
View attachment 2096039
View attachment 2096040
View attachment 2096041
View attachment 2096042
View attachment 2096043
View attachment 2096044
View attachment 2096045
View attachment 2096046
Aina hizi
Karibu PM