Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Kwa mwenye uhitaji wa vifaa vya simu(phone accessories) kama vile:
Chaja za simu,Memory card,kava za simu,phone protectors, Earphones n.k au Radio zenye Bluetooth pia zipo, Flash na vingine vingi anichek. kwa jumla na rejareja.
Vile vile unaweza tembelea page yetu ya Instagram @lenno_phones au facebook kwa jina la Lenno Biashara kujionea bidhaa mbalimbali.
Karibu.
 
Habar Wakuu? Nimeanzisha Company yangu inayo deal na Issues za COOLING, Generator Services & Maintenance... Kwa yoyote ambae ana Connection za Air conditioning, Generator Services & Maintenance kweny MaHOTEL,TAASISI nk

Kampuni ipo
1.Tanga
2.Dodoma
3.Singida
4.Morogoro

Contact: 0622508945
Email: powercooltechservices@gmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umetoa maelezo mazuri sana yanahamasisha, nimehifadhi Id yako na namba nitakutafuta baada ya kujiridhisha.

Ninakumbuka kuna kipindi nilikuwa ninatafuta mtu wa namna hii nikakutana na mtu mmoja hapa jamii forums.

Nilipomtafuta na kufamiana naye basi kabla ya kuanza kazi kila siku nina shida hii nina dharura hii nisaidie pesa.

Kifupi alikuwa si muaminifu na hajui kutenganisha kazi na mambo binafsi pamoja na mambo mengine yanayozuia kushirikiana naye.

Anyperson with Food Processing skills is my friend.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vipi unaweza kunipa mchanganuo wa gharama ya kusafirisha mchele kutoka, mbeya na kahama kwa kwa kila kilo 100?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam nina connection ya mtu mmoja yy husambaza madawa ya binadamu hasa katika mikoa ya Mara na Mwanza. Ila yy huchukulia kwa Kenya ngoja nitakupatia namba yake uwasiliane nae.
@Papaa Gx mm pia naomba mawasiliano ya huyu supplier

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Wadau natafuta connection ya kulimisha kwa kutumia trekta. Yaani ni sehemu ipi kulipo na uhaba wa trekta na kuna kilimo kwa wingi. Nataka nipeleke trekta maeneo hayo ili niwe nalima mashamba ya watu kwa kukodisha. Msaada tafadhali
 
Nipewe connection ya kupata bidhaa zifuatazo kwa jumla
USB wire
Computer mouses
Disk flash
Game pads
Small Bleuetooth spekers
Na SAA za mkononii

USB wire
Computer Mouses.
Flash
Small Bluetooth speaker ivo vitu nauza ukihitaji kuona naweza kukutumia picha au ukatembelea page yangu instagram @lenno_phones au Facebook kwa jina la Lenno Biashara,
kujionea bidhaa nyinginezo nyingi.
 
USB wire
Computer Mouses.
Flash
Small Bluetooth speaker ivo vitu nauza ukihitaji kuona naweza kukutumia picha au ukatembelea page yangu instagram @lenno_phones au Facebook kwa jina la Lenno Biashara,
kujionea bidhaa nyinginezo nyingi.
Kwa jumla jumla? Upo mkoa ganii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…