Kutoka ifakara mpaka dar kilo moja ya mchele husafiliahwa kwa sh 80 mala 100 inakuja 8000,kupakia mchele gunia sh 700,na kushusha being hiyo hiyo,ushuru kilo sh 30 kwa kilo 100 inakuja 3000 umagharamia usafili kutoka huko mlimba bei yake siifahamu hapo nazungumzia kwenye gari kwa hiyo gari inakuletea ww ulipo kama buguruni ,manzese ,tegeta ,tandika nk
Twende kwenye train ,wale wanitaji kiloba cha mchele uweke viwili maana wanahofia kupasuka ,kwa hiyo unaweka mifuko 2 ndio unaweka mchele kwa hiyo kama unagunia 10 itabidi ununue mifuko 20 kwa hiyo utakuwa umeongoza gharama nyingine, gharama alafu unatakiwa uusafilishe mzigo wako mpka tazara kwa hiyo unalipa pesa ya kupaki kutoka mashine usafili na pesa ya kushusha kule tazara umeongeza gharama ambapo gari inakuja kupakia moja kwa moja mashine na kuondoka
Ukishusha mzigo tazara unapimwa tena unalipa kabisa wakati gari unaweza kuja kulipia unaposhusha mzigo baaada ya hapo mzigo hupakuwa ktk train unalipia peaa ya kupakia na ukifika unalipa pesa ya kushusha tazara ya huku dar, unatakiwa ukodi usafili WA kwenda kuchukua mzigo tazara ili upeleke oficn kwako kwa hiyo kuna kulipia gari tena kuwalipa wanaopakia na kwenda kushusha hapo unapopeleka mzigo, alafu ukiwa ktk gari na mzigo wako hulipi nauli kwenye train unalipa nauli huwezi ukapanda bila nauli alafu ukasema nina mzigo wangu ragej silipi nauli hahahaaaaaaaa NI hivyo tu kuna usipoelewa?
Sent using
Jamii Forums mobile app