Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Mtaji kama kiasi gani umaitajika mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No disrespect Mkuu, ila bei yako iko juu sana.

Hapa DSM, kuna mabucha wanauza kuku wa kienyeji aliyechakatwa 15,000/= kwa reja reja.

Kiushindan bei yako sio rafiki kwangu.
Huyo ni dalali kama mimi hapa,hauna haja ya kibishana naye.
Madalali tunanunua kuku mikoani ukitaka. tunakuuzia 15,000/= mpaka 20,000/= hizo ndio kazi zetu boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…