Tempus Fugit
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 850
- 2,212
Contacts details...unapatikana wapi?Karibu nikuuzie korosho zilizookwa kg 1 ni 15,000/=.View attachment 1693196
0624435485 Kitangali-MtwaraContacts details...unapatikana wapi?
Naomba unichek inbox mkuuMimi nauza dagaa wazuri kutoka mwanza anaehitaji anicheki tufanye biashara
Wakavu ama wa mafuta?Mimi nauza dagaa wazuri kutoka mwanza anaehitaji anicheki tufanye biashara
Njoo tu mkuuShukrani kwa kujitokeza na mim nnahitaji naomba kuja pm tafadhali.
Ninauza dagaa wa Mwanza wa mafuta (wa kukaangwa) na wakavu, pia ninauza samaki sangara kwa bei ya jumla
Bei za dagaa
~ wa kukaangwa
Kisado__15000/=
Ndoo ndogo__35000/=
Ndoo kubwa___65000/=
~Wakavu
Ndoo moja kubwa yenye kilo 4___Tsh 20000/=
Na samaki pia wapo, sangara
Karibuni sana,
Kwa maongezi na mapatano zaidi karibu PM iko wazi
Niko Kibaha, Pwani, kokote mzigo unakufikia.
Namba yako ya simu na wapi unapatikanaMchele safi unapatikana Moshi/Arusha Tshs 70,000/= kwa gunia moja la kg 50.
namba yako ya simu na wapi unapatikana
Ipo mkoa gani tujuze?
Mkuu unaishi wapiNaomba nipate connection ya Machimbo ya Kobazi (Sandals) K/koo [emoji1545]View attachment 1694109
Bei gani jumla?Mkuu unaishi wapi
Me nna deal na hizi issue k/koo
Za kike unazo?Mkuu unaishi wapi
Me nna deal na hizi issue k/koo