Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Naomba nipate connection ya Machimbo ya Kobazi (Sandals) K/koo [emoji1545]
AddText_12-03-05.58.20.jpg
 
Naitwa Brian Naomba connection ya kupata gari ya kazi kwaajiri ya uber/bolt naishi dar es salaam
Namba ya simu 0683950110
 
Ninauza dagaa wa Mwanza wa mafuta (wa kukaangwa) na wakavu, pia ninauza samaki sangara kwa bei ya jumla

Bei za dagaa

~ wa kukaangwa
Kisado__15000/=
Ndoo ndogo__35000/=
Ndoo kubwa___65000/=

~Wakavu
Ndoo moja kubwa yenye kilo 4___Tsh 20000/=

Na samaki pia wapo, sangara

Karibuni sana,

Kwa maongezi na mapatano zaidi karibu PM iko wazi

Niko Kibaha, Pwani, kokote mzigo unakufikia.

Upo wapiiiii
 
Nataka kufungua biashara ya dry cleaner so kwa ambaye ameshawahi kufanya biashara hii tafadhali naomba maoni yake pamoja na chamgamoto zake...
 
Mlimba ipo mkoa wa Morogoro unapita Ifakara then Mlimba kilomita 150 kutoka Ifakara hadi Mlimba.
 
Naomba connection ya mafuta ya ALIZETI toka singida kwa bei nafuu hata kama hayana lebo.... Mi nipo moshi 0768494699
 
Back
Top Bottom