Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Nahitaji connection ya biashara ya mchere kigoma mjini soko lipoje huko,au kama kuna biashara inayoenda kwa sana naomba kujuzwa
 
Huk patam. M nna mashne ya kpukuchua mahndi ngoj nicbir mavun
Sio ifakara ila ni mji mdogo katika wilaya ya kilombero huku kwanza mashamba ni Bei nafu unapata 200000 kwa hekali tena vijiji vyake vina umeme vile vile ardhi inakubali kila aina ya mazao mpunga gunia unapata kwa 50000 vilevile Kuna kilimo cha ufuta afu Kuna mazao ya mboga mboga nyanyachungu wanauza debe 5000 na Kuna wakulima wengi wa ndizi ndizi tunazonunuaga dar 250 mojahuku mkungu unapata kwa1500 Kijiji Cha mbingu afu Kwenye mavazi wanauziwa Bei kubwa lakini wananunua afu ukiwa na mashine ya kupukuchua mahindi unapiga sana pesa Kuna jamaa anayo anawakusanya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada wapi naweza kupata hii blade ya msumeno, Kama yupo anayeuza humu tuchekiane
-1099757630-475893800.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom