Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,652
- 2,355
Nipo hapa
Naomba connection ya wauzaji wa kuku toka singida na dodoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba connection ya wauzaji wa kuku toka singida na dodoma
Gunia la mkaa unauzaje? Mpaka dar?Wanunuzi wa mkaa Kwa jumla naomba tuwasiliane,
Nasafirisha mkaa na kuuza bei ya jumla hasa Dar es salaam kutokea njombe.
Mnunuzi karibu PM tuyajenge
Gunia la mkaa unauzaje? Mpaka dar?
Mpaka Dar kwenye store yako nakushushia Kwa 22,000 mkuu ni gunia la Debe sabaGunia la mkaa unauzaje? Mpaka dar?
Nimeshamjibu mkuu, karibuAkikujibu nitag mkuu...!
Mpaka Dar kwenye store yako nakushushia Kwa 22,000 mkuu ni gunia la Debe saba
Hayo ni Yale magunia yale mkubwa mkuu, ya kilo Mia na zaidi.Ni Yale makubwa kabisa au ni ya kilo ngapi kiongozi...?
Na hiyo 22,000 ni kwa gunia 1 au kuna idadi mtu anatakiwa kuchukua ili auziwe kwa bei hiyo...?
Natanguliza shukran.
Hayo ni Yale magunia yale mkubwa mkuu, ya kilo Mia na zaidi.
22,000 ni Kwa mteja anayechukua kuanzia gunia 50 kupanda juu mkuu.
Karibu
Kama utafuata mwenyewe gari itakapokuwepo nitakuuzia Kwa hiyo bei. Issue hapa ni kipisi ndio kinabeba sasa nikianza kushusha kidogo kidogo sehemu nyingi ni hasara kwangu.Oooh Owkay na kama nahitaji la kutumia tu kama member mwenzako wa JF utanisaidiaje mkuu wangu...?
Njoo mbeya utapata kila aina ya chakulaNinapenda nipewe connection ya biashara ya mazao ya chakula baada ya muda muafaka nije niyauze.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama utafuata mwenyewe gari itakapokuwepo nitakuuzia Kwa hiyo bei. Issue hapa ni kipisi ndio kinabeba sasa nikianza kushusha kidogo kidogo sehemu nyingi ni hasara kwangu.
Kwa hii Bei ukileta kwetu ukonga hata ziwe gunia 10000 zinaisha kwa lisaa limojaHayo ni Yale magunia yale mkubwa mkuu, ya kilo Mia na zaidi.
22,000 ni Kwa mteja anayechukua kuanzia gunia 50 kupanda juu mkuu.
Karibu
Naomba unisaidie mkuu no za wanunuzi wa jumla.Kwa hii Bei ukileta kwetu ukonga hata ziwe gunia 10000 zinaisha kwa lisaa limoja
Wachaa bana ukonga gongo la mboto?Kwa hii Bei ukileta kwetu ukonga hata ziwe gunia 10000 zinaisha kwa lisaa limoja
Naomba unisaidie mkuu no za wanunuzi wa jumla.
Namba Sina ila kwaushauri njoo uongee nao mwenyewe wenye stoo maana stoo nyingi nitupu hazina mkaa maliasili wanazinguaNaomba unisaidie mkuu no za wanunuzi wa jumla.
Yah!! Kipawa mpaka chanikaWachaa bana ukonga gongo la mboto?
Sawa!Yah!! Kipawa mpaka chanika
40000,50000 mpaka,60000Sawa!
Hivi gunia dar linauzwaje kamanda