Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Ni Yale makubwa kabisa au ni ya kilo ngapi kiongozi...?

Na hiyo 22,000 ni kwa gunia 1 au kuna idadi mtu anatakiwa kuchukua ili auziwe kwa bei hiyo...?

Natanguliza shukran.
Hayo ni Yale magunia yale mkubwa mkuu, ya kilo Mia na zaidi.

22,000 ni Kwa mteja anayechukua kuanzia gunia 50 kupanda juu mkuu.

Karibu
 
Back
Top Bottom