Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

wakuu natanguliza shukrani

samahani naweza pata wapi wateja/soko la korosho za kuoka kwa bei ya jumla kwa tsh 13000 per kg...kama kuna mtu anajua hlo soko lets make basis for mutual beneficial trade (tuangalie namna tutakavyoweza kufaidika wote)

ABDUL
0682-432906
KIBAHA
 
Nahitaji connection ya kazi za lifting uzito wowote mazingira yeyote tunafanya kazi,mkoa wowote.

0688607473

IMG-20201206-WA0005.jpg
 
Mimi Ninazo machine mbili za kusaga na mbili za kukoboa Mahindi.Nilizinunua Ili nizifunge sehemu,nifanye Niagara ya kukoboa na kusaga.Bahati mbaya Kuna MTU nilimtegemea anipe mtaji wa kununulia mahindi na Mambo ya leseni,akawa amefilisika ghafla.HIVYO HIZO MACHINES SIKUKUZIFUNGA TENA NA BADALA YAKE NIKAZIWEKA STORES MPAKA LEO NA HAZIJAWAHI KUTUMIKA.Size ya kinu Cha kusagia Ni N50, na Motors Zake Ni Horse Power (HP20).Ninauza Bei Rahisi ya shs 1,600,000 TU kwa full set moja complete ya kusaga na au ya kukoboa.UKIZINUNUA,UNAZIFUNGA KATIKA KIWANDA CHAKO KIDOGO NA KUANZA KAZI.Dukani zinauzwa shs 2,300,000 kwa set.Karbuni mnunue.CONTACTS YANGU NI 0786 02 14 14
 
Mkuu unapatikana wapi
 
Tunasaidia

Wafanya Biasha (wasiosajili BRELA) KUSAJILI KAMPUNI na JINA LA BIASHARA

Wafanya Biashara na KAMPUNI - Kuandaa HESABU ZA KODI/KAMPUNI

USHAURI - BURE
GARAMA KUANZIA 15,000

WASILIANA NASI 0788104228
@teamsolutionconsultation
Mtumishi.jpg
 
wakuu natanguliza shukrani

samahani naweza pata wapi wateja/soko la korosho za kuoka kwa bei ya jumla kwa tsh 13000 per kg...kama kuna mtu anajua hlo soko lets make basis for mutual beneficial trade (tuangalie namna tutakavyoweza kufaidika wote)

ABDUL
0682-432906
KIBAHA
[emoji1812]
 
Naombeni Kujua Hivi Kuna Mashine maakumu za Kukaangia Karanga?? Kama kuna aliye wahi pata mashine hiyo anipe uzoefu wake tafadhali

1. Je nibei gani kinunua?
2. Ina uwezo wa Kukaangia kiasi gani kwa siku ?
Je ina uwezo wa upande wa Kufungashia karanga(packaging)

Asante
 
Jamani leo acha na mimi niteme nyongo zangu maisha magumu aisee daaah

Yahn leo week ya pili inakatika kwenye wallet(mboli) sina mia kavu, geto sina mia kavu wala TIGO PESA.(baanua sakaru msemo wa chuo)

Mwaka huo unasogea tu mipango imepangwa kazi tunapiga lakini hakuna matokeo mapaka unakata tamaa na kupata sononeko la nafsi(mgogoro wa nafsi) hasa ukiona mtu anafanya matumizi ya kawaida kabisa lakini mimi naona jamaa anatumia pesa vibaya.

Wakuu vita ni vikali(mambo magumu).Nina visa vingi sana vya msoto wangu wa maisha vingne vinachekesha vingine vinahuzunisha na vingne sitokuja kuvisahau kama kimoja majuzi kati tu hapa mtoto wa miaka sita Ndio alinipa hela ya nauli(elfu moja) ya kurudi home baada ya kufatilia mchongo hafu mambo yakabuma.

Nisiwe msemaji sana ingawaje bado nipo frontline kupambana na hii vita na huyu bwana mkubwa pesa na nashukuru Mungu afya na uzima ipo safi

Wale watiaji moyo mje taratibu maana vijana tumevurugwa tunalala na hasira na kuamika na. hasira mambo unakuja kutia moyo hafu tunawaona nyuzi za bata mnajitanua mnatutia uchungu balaa kazi hamtupi tukiwafata PM zenu mnaulza jinsia.

Tupeni connections stranger waaminifu tupo.

Nawasilisha

Vita vikali.
 
Back
Top Bottom