Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Habarini MABOSS zangu napenda kuwaletea hii. Fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar Kwa gharama nafuu

Unaeza agiza nasi hatakama huna pesa kamili sisi tukanunua Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo..

Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations. Karibu sana wadau WhatsApp+255765018958
Inatumia muda Gani Hadi vitu kufika?
 
Naomba kuuliza kuna hawa jamaa wanajiita imarket apple world kuna mtu ashawahi fanya nao huduma?
 
NAWAKARIBISHA WAPENZI WOTE WA MAZIWA MGANDO (MTINDI) NAPATIKANA DARESALAM MAKUMBUSHO LITA TANO KWA SHILINGI ELFU Tsh. 16,000/= TU TUPIGIE KWA NAMBA YA SIMU 0625710860 KARIBUNI SANA ,, TUNFANYA DELIVERY POPOTE ULIPO NDANI YA MKOA WA DARESALAM BUREE


Screenshot 2023-09-24 172500.jpg
 
IMG_0504.jpg


Habari wanaJamiiforum. Napenda kuwakaribia kwenye kampuni ya Bryte Sky Links.
Tunatoa huduma za: • Web Designing. • Logo, Banners, Poster Designs. • Social Media Advertisements. •Business name & Company Registration. • Flight Reservations and Bookings. •Passport Applications. •Visa Applications and Appointments. •Study Abroad Programs.(Scholarships included). •Computer Maintenance & Repair..

Tunapatikana Bagamoyo Road, Tanki Bovu, Mbezi Beach, Jengo la “Mbezi Park”.
Karibuni sana wadau.
Whatsapp +255787308831
 
Kwa anaeuza vifaa vya jumla vya umeme
Wire 1.5,2.5,4&6 mm2
Holder
Switch
Switch socket
Balbu..
Circuit breaker
Junction box
Mainswitch single phase ( 2way Hadi 6 way)..
 
Popote pale ulipo, fanya biashara pata maisha. Nnawaombea mafanikio mema.

Ukiwa bado unajitafuta na ukataka kuongeza wigo wa wateja Tanzania na dunia nzima kupitia majarida na mtandao basi karibu sana

Humu utakutana na wajasiriamali wenzio tutaongea mambo yetu na kuchapisha makala zinazotuhusu (blogs na magazine)

Utakuwa na duka lako mtandaoni utakapopanga bidhaa zako, bei zako na kuzielezea.

Utajibu maswali na comments za wateja (reviews)

Kiufupi ni kama umejisajili maonyesho ya nanenane ya mtandaoni ya siku zote. Bure bilashi!
 

Attachments

Back
Top Bottom