Uzi maalumu wa kupeana maarifa kwenye nyanja tofauti (Kiuchumi, kiafya na maendeleo binafsi)

Uzi maalumu wa kupeana maarifa kwenye nyanja tofauti (Kiuchumi, kiafya na maendeleo binafsi)

Sina Ndugu

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2024
Posts
378
Reaction score
604
Weka hapa Softcopy yeyote iwe Kitabu, Makala au Jarida lolote, Lakini lengo kuu la hiyo Document liwe ni kuleta maarifa katika eneo fulani .

Yaweza kua Kiuchumi, Mabadiliko binafsi, Kiroho hata Historia yenye kufunza .

Karibuni!!!
 
Oookay hili hapa toleo la kwanza la Jarida la wajasiriamali. Maelekezo ya kuweza kuchapishwa biashara yako BURE pia yamo humohumo:
Kadri linavyokua litakuwa na mada mbalimbali kuwahusu wajasiriamali. Karibuni
 

Attachments

Uzi mzuri , kila siku ntakua naweka vitabu vitatu hapa

Joel nanauka ;
I. Namna ya kuondokana na madeni.
II. Core Fenious
III. Namna ya kuondokana na madeni
 

Attachments

Back
Top Bottom