Sina Ndugu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2024
- 378
- 604
- Thread starter
- #21
Barikiwa sana boss, kumbe na vitabu unasoma soma mkuu!!Uzi mzuri , kila siku ntakua naweka vitabu vitatu hapa
Joel nanauka ;
I. Namna ya kuondokana na madeni.
II. Core Fenious
III. Namna ya kuondokana na madeni
Nikajua wewe zako fashion tu 😆😆 - Utani