Sina Ndugu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2024
- 378
- 604
- Thread starter
-
- #21
Barikiwa sana boss, kumbe na vitabu unasoma soma mkuu!!Uzi mzuri , kila siku ntakua naweka vitabu vitatu hapa
Joel nanauka ;
I. Namna ya kuondokana na madeni.
II. Core Fenious
III. Namna ya kuondokana na madeni
ππ Najitahidi kuvipitia pitia mkuu.Barikiwa sana boss, kumbe na vitabu unasoma soma mkuu!!
Nikajua wewe zako fashion tu ππ - Utani
Nakubali Gentleman πππ Najitahidi kuvipitia pitia mkuu.
Asante mkuu ,vitabu vizuriUzi mzuri , kila siku ntakua naweka vitabu vitatu hapa
Joel nanauka ;
I. Namna ya kuondokana na madeni.
II. Core Fenious
III. Namna ya kuondokana na madeni
Jaribu hivi;Kuna vitabu vya wasabato vya afya na vingine vya chakula na vinywaji kama mtu anacopy zake aweke humu
I appreciate thatAsante mkuu ,vitabu vizuri
Daaaaa aiseeee Tisha sn mkuuuJaribu hivi;
Pamoja mkuuDaaaaa aiseeee Tisha sn mkuuu
Umetuokoa wengi,tunashukur sn