We nani bhn,mbwembwe kibaoooo..tuliza njegere hizo.Naamini wote tangazo tuliliona ? Na wote tunajua kusoma na tulilisoma vizuri , nasisitiza tena walimu wa arts geography , Kiswahili , history sijui Economics mlikuwa hamuitajiki hili lazima tuliseme tena tafadhari tusingependa kuona lawama zisizo na msingi ,hapa lazima wote tuelewane asanteni .
Namshangaa au hajui kuwa kuna watu wanaitwa ma refarii..Mzee hizi ajira tunasema tuuh but demand inaweza kubadilikaaa hataa wa arts wanawezaa kuajiriwaa piaa mzee kikubwa tuuh Kutokataa tamaaa na kumuombaa Mungu incase ukipata na ukikosaa Mungu ana njiaa nyng za kukufanyaa uajiriwe regardless ya hii tamisemii
Yes. Ni alisomea ualimu pale mlimani. Dogo anasikitisha kweli.
hao maadaktari bingwa wa 2022 ni specialist, lakin vijna ss wa 2022 ROMA KATUPONZA😂Kaka kama.ww uligraduate 2021/2022 una bahat ukiwepo pale
Mdogo wangu wa mwaka huo kwa somo hilo na Kiswahili wamemsubirisha.English language wote waliobebwa ni 2015
mimi wa 2021 Nina safar ndefu
Kwan lazima afundishe shule za Serikalini?Yes. Ni alisomea ualimu pale mlimani. Dogo anasikitisha kweli.
Kivipe Mwalimu ?Nimekula ndoige wacha niendelee kulima
Jina jingine wanaitwa ni God father's (sijawahi sikia God mother's) au kifupi ni baba wa ubatizo na mama wa ubatizo, sasa wewe baba yako wa ubatizo ni nani anzia hapoNamshangaa au hajui kuwa kuna watu wanaitwa ma refarii..
Hongera,mwaka ganiMambo ni mazuri upande wangu
Mungu mkubwa
Za private zenyewe kuzipata sio mchezo mkuu.Kwan lazima afundishe shule za Serikalini?
Mwl wa Tuition anafundisha HESABU na kingereza kapata kazi somewhere yeye anakosaje ?Za private zenyewe kuzipata sio mchezo mkuu.
Hebu mpatie connection huyu jamaa..Mwl wa Tuition anafundisha HESABU na kingereza kapata kazi somewhere yeye anakosaje ?
Pole mkuuI cant believe my eyes,,, nimetemwaaaaa[emoji854][emoji854][emoji3][emoji3][emoji3]
Dahhh..yaani kuna mdogo wangu kamaliza toka 2015 pale mlimani na GPA yake ya 4.2..wamekula tena kichwa..ameniambia nimuangalizie hadi nikawa natetemeka jinsi ya kumrudia na kumpa habari zisizo nzuri.
Hakuna mwenye uwezo wa kumsaidia huyu dogo (ashakuwa na familia tayari)? Dahh..nimesikitika sana.