whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Sidhani kama kuna sayansi 2015 aliyeachwa, labda haku applyItafika kipindi ndugu yangu yoyote akitaka kusomea uwalimu nitamshauri aishie level ya cheti.
maana nina dada yangu mpaka namuonea huruma since 2015 uwalimu shahada hajawahi kupata nafasi na ni sayansi.
ConnectionKuna mtu kamaliza 2022 na ni arts,kapelekwa msingi ,wakati watu wa 2015 wapo wengi mnoo
Mwaka gani?Inauma kinouma Biology chemistry zimekuwa kama history soko gumu. Nimekata tamaa ase.
Najiulizaga nini kilimsibu mpaka akakataa ajiraWatoto wa siku hizi wanampenda sana Magufuli wakati yeye ndo chanzo cha yote haya.
Tangazo lipi tena? Ku report ni kuanzia siku ya tangazo la ajira, ndani ya siku 14.Tangazo maelekezo ku report huwa halichukui muda san
Mkuu fani yako kazi zipo jiunge na magroup ya telegramMie na bachelor yangu ya HR ndo niponipo tu sina mwelekeo, heri yenu nyie walimu kazi zinatangazwa nafasi maelfu, sie huku ni maumivu tu.
Umemaliza mwaka gani?Hadi 2026 huko ndo tutegemee aiseee 😂😂😂
Nimeona hadi uvivu kuendelea 😂😂😂
2021Umemaliza mwaka gani?
Aise, mimi nilihitimu 2016 kila mwaka nakosa tu, mwaka huu nimepata, vumilia utapata2021
ntajiunga mkuu nikipata device itakayoruhusu, hii nnayotumia kutamba humu hata ni aibu kuisema.Mkuu fani yako kazi zipo jiunge na magroup ya telegram
Hongera sana aisee, ukawe mtumishi mwadilifu.Aise, mimi nilihitimu 2016 kila mwaka nakosa tu, mwaka huu nimepata, vumilia utapata
Wanapost sana hizo nafasintajiunga mkuu nikipata device itakayoruhusu, hii nnayotumia kutamba humu hata ni aibu kuisema.
yeah, ni kweli mkuuWanapost sana hizo nafasi
Nipo group la wasap nadhani katika taaluma inaongoza kutangazwa nafasi za kazi baada ya sales and marketing inatuata hio HR ila ndio hivyo ubaya wake inahitaji mtu mmoja na experienceMie na bachelor yangu ya HR ndo niponipo tu sina mwelekeo, heri yenu nyie walimu kazi zinatangazwa nafasi maelfu, sie huku ni maumivu tu.
Experience imegeuka fimbo ya kutuchapia aiseeNipo group la wasap nadhani katika taaluma inaongoza kuxperience