Kuna huyu Ramadhani mwaduke na salama ngare Tanzania hii wengne wakachambue mchele tuRAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
Uchambuzi wa Jamaa ni balaa, No blaablaa full of statistics na mbinu timu, makocha nk. Wanazotumia
YouTube Channel: Data Sports Tv
Ushasema ulaya unataka kuniambia mashabiki wa ulaya wanamsiliza au mashabiki wa ulaya Wana nongwa Kama mashabiki wa Simba na yanga.Mbona kwa timu za ulaya kajiweka wazi?
Yupo kituo gani huyuKuna huyu Ramadhani mwaduke na salama ngare Tanzania hii wengne wakachambue mchele tu
Ndio maana nikasema ni mchambuzi mzuri ila mwoga kwa mashabiki wa hizi timu.Ushasema ulaya unataka kuniambia mashabiki wa ulaya wanamsiliza au mashabiki wa ulaya Wana nongwa Kama mashabiki wa Simba na yanga.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sawa huku unatakiwa kuwa neutral ili kubalance mzani.Ndio maana nikasema ni mchambuzi mzuri ila mwoga kwa mashabiki wa hizi timu.
Mbona wachambuzi wa huko huko ulaya timu zao wanazisema
Jamaa hata akichambua game za Simba na yanga.....the way anavyochambua unaona kabisa mzani unabalance....haegemei sana upande wowoteNdio maana nikasema ni mchambuzi mzuri ila mwoga kwa mashabiki wa hizi timu.
Mbona wachambuzi wa huko huko ulaya timu zao wanazisema
[emoji91][emoji123] umetisha sana mkuu.Kama unataka mchambuzi mzuri wa mpira Mfuatilie;kama tukimtoa Dr leakey abdallah(huyu yuko Dunia tofauti na hao wengine)
1.Edo kumwembe( Huyu ni mzoefu,Mfuatiliaji wa mpira wa ndani na nje, Ni mchambuzi mzuri sana kwa bongo)
2.Mbwaduke(ni mzee wa data,ni mchambuzi mzuri)
3.Shaffi dauda( Huyu na edo wote wanauzoefu mkubwa,tofauti yao huyu yeye amejikita kuwa mkosoaji,na mrwkebishaji wa mfumo wa soka uliopo,Muda mwingine ukosoaji wako ni mzuri muda mwingine ni kama anapotoka)
4.Farhan jr.(Nadhani hao wote wakistaafu huyu ndio atakuwa Icon,wa wachambuzi wa mpira bongo,Ana exposure ya kutosha ya soka la ndani na la nje,no msomaji na mfuatiliaji wa makala za soka duniani,Huyu ni mwandishi mzuri sana wa makala za soka)
5.Amri kiemba(Huyu ni mzoefu ni ex player,Anachambua uhalisia sana na kwa kutumia uzoefu ulionao,Kwangu mimi namuoamini sana hasa linapokuja kwnye uchambuzi wa soka la ndani,Hana mihemko n.k)
NB.Hizo number sijazipanga kwa mtiririko wa kwanza hadi wa mwisho hapana,
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Huyu kapigiwa kura sana humu nafikiri ndiyo mchambuzi Bora kwa Sasa.Ambangile
Sahihi kabisaRamadhani Mbwaduke
George Ambangile
Mbna Amri ni legend wa Simba.Amri ni utopolo mtupu
Omary katanga sio mchambuzi ni mtangazaji,rashid seif ni comedian..hao wawili kweli ni wachambuzi wazuri hasa huyo mwanyani sjuiGeoffrey Mwamnyanyi
Salama Ngale
Omary Katanga
Rashid Seif
UFM radio.
Yule ni Ambokile. Japo Ambangile anauzima fresh.Hivi huyu ndiye yule alikuwaga kijana mdogo miaka ya 2000's akawa anacheza mpira nje ya nchi na kuna kipindi fulani alishirikishwaga kwenye tangazo la cement akiwa bado mdogo zilizochapiwa na cement toka kampuni tofauti. akipiga mpira kwenye nyumba mbili tofauti Nyumba moja haikuwa imetengenezwa kwa cement imara baada ya kupiga mpira cement ikabanduka na nyingine ilitengenezwa kwa cement imara ya kampuni iliyompa tangazo baada ya kupiga mpira, cement ilikuwa imara kwenye ukuta wa nyumba.
Sawa bro. Dogo yupo wapi sasa hivi?Yule ni Ambokile. Japo Ambangile anauzima fresh.