Uzi maalumu wa kutaja wachambuzi makini wenye weledi wa soka na vituo vyao wanavyofanya kazi ili tukawasikilize

Uzi maalumu wa kutaja wachambuzi makini wenye weledi wa soka na vituo vyao wanavyofanya kazi ili tukawasikilize

RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE

Uchambuzi wa Jamaa ni balaa, No blaablaa full of statistics na mbinu timu, makocha nk. Wanazotumia

YouTube Channel: Data Sports Tv
Kuna huyu Ramadhani mwaduke na salama ngare Tanzania hii wengne wakachambue mchele tu
 
George ambangile mwamba kutoka kyela
George job
Wote wasafi fm
 
Ndio maana nikasema ni mchambuzi mzuri ila mwoga kwa mashabiki wa hizi timu.

Mbona wachambuzi wa huko huko ulaya timu zao wanazisema
Jamaa hata akichambua game za Simba na yanga.....the way anavyochambua unaona kabisa mzani unabalance....haegemei sana upande wowote
 
Kama unataka mchambuzi mzuri wa mpira Mfuatilie;kama tukimtoa Dr leakey abdallah(huyu yuko Dunia tofauti na hao wengine)

1.Edo kumwembe( Huyu ni mzoefu,Mfuatiliaji wa mpira wa ndani na nje, Ni mchambuzi mzuri sana kwa bongo)

2.Mbwaduke(ni mzee wa data,ni mchambuzi mzuri)

3.Shaffi dauda( Huyu na edo wote wanauzoefu mkubwa,tofauti yao huyu yeye amejikita kuwa mkosoaji,na mrwkebishaji wa mfumo wa soka uliopo,Muda mwingine ukosoaji wako ni mzuri muda mwingine ni kama anapotoka)

4.Farhan jr.(Nadhani hao wote wakistaafu huyu ndio atakuwa Icon,wa wachambuzi wa mpira bongo,Ana exposure ya kutosha ya soka la ndani na la nje,no msomaji na mfuatiliaji wa makala za soka duniani,Huyu ni mwandishi mzuri sana wa makala za soka)

5.Amri kiemba(Huyu ni mzoefu ni ex player,Anachambua uhalisia sana na kwa kutumia uzoefu ulionao,Kwangu mimi namuoamini sana hasa linapokuja kwnye uchambuzi wa soka la ndani,Hana mihemko n.k)

NB.Hizo number sijazipanga kwa mtiririko wa kwanza hadi wa mwisho hapana,

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
[emoji91][emoji123] umetisha sana mkuu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Geoffrey Mwamnyanyi
Salama Ngale
Omary Katanga
Rashid Seif

UFM radio.
 
UKIPATA TIME SOMA HII UTAJIFUNZA KITU JUU YA NENO UCHAMBUZI.

Kwanza tuelewane neno uchambuzi ni neno pana sana,hasa linapohusishwa na mpira au soka linalenga kuangazia soka katika nyanja mbalimbali zinazohusu soka.

Soka la kisasa lina jengwa na vitu kadhaa,moja ni uchumi,mbili ni tactics au mbinu tatu ni propaganda,na nne ni sayansi ya soka,bila kusahau takwimu na sheria au kanuni.

Sasa kwenye angle zote hizo kuna wachmbuzi wabobevu kabisa waliamua kujikita kwenye kipengele kimoja au vyote.

Hapa nitataja wachambuzi kulingana na angle au nyanja ya mchambuzi husika.

UCHUMI,jamaa anaitwa scandali,ni mzuri sana huku,anajua sana kuhusisha mpira na uchumi na brand,jamaa ni gwiji kwenye hili.

SPORTS SCIENCE,kuna jamaa anajiita gen fumbwe au la mchongo oojii,jamaa analink soka na sayansi ya soka na anakuja na fact kabisa,ana make sense.

MBINU,hapa wapo wengi sana,na ndio kiini cha uchambuzi wa soka,ila kwangu mimi nitamtaja george ambangile,cos mbali na uchambuzi jamaa ni kocha,hivyo ana uwezo mkubwa sana kuelezea kwenye angle hii,hapa namweka mwanadada salaa ngale,bila kusahau geofrey mwamunyanyi(kama nimetamka vibaya sorry).

PROPAGANDA,ndio kila kitu kinachohusu fanatic lazima kiwe na propanganda ili mradi tu kiende,kwenye siasa kuna propaganda,kwenye diplomasia zipo pia,kwenye muziki zipo ila huko zaitwa kiki au stunts,vivo hivyo kwenye soka zipo jamani,na hapa kuna mtu kama haji sunday manara,licha ya kwamba ni msemaji wa klabu ya yanga ila nadhani jamaa ni mbobevu sana kwenye hii angle,na usisahau ili uwe mbabe wa propaganda lazima uwe unajua saa kupangilia maneno kitu ambacho haji bila kificho anaweza tena sana.

SHERIA NA TARATIBU,kipengele kingine muhimu sana kwenye soka,kwa sababu kila kitu kina sheria na taratibu,sasa hapa naomba nimtaje michael mwebe,jamaa ni mwamba sana kwenye hili,bila kumsahau othman kazi,nadhani kwa kazi inachagizwa na fact kwamba alishawahi kuwa mwamuzi wa kati wa soka.

TAKWIMU,kwenye soka kuna umuhimu wa kuja na takwimu ili kujiridhisha muda mwingine,hasa pale ambapo huwa kunatokea mkanganyiko,kwenye hii angle wote kwa sauti moja tutakubaliana kumtaja ramadhani mbwaduke kuwa ni mchambuzi bora sana hapa.
 
Geoffrey Mwamnyanyi
Salama Ngale
Omary Katanga
Rashid Seif

UFM radio.
Omary katanga sio mchambuzi ni mtangazaji,rashid seif ni comedian..hao wawili kweli ni wachambuzi wazuri hasa huyo mwanyani sjui
 
Hivi huyu ndiye yule alikuwaga kijana mdogo miaka ya 2000's akawa anacheza mpira nje ya nchi na kuna kipindi fulani alishirikishwaga kwenye tangazo la cement akiwa bado mdogo zilizochapiwa na cement toka kampuni tofauti. akipiga mpira kwenye nyumba mbili tofauti Nyumba moja haikuwa imetengenezwa kwa cement imara baada ya kupiga mpira cement ikabanduka na nyingine ilitengenezwa kwa cement imara ya kampuni iliyompa tangazo baada ya kupiga mpira, cement ilikuwa imara kwenye ukuta wa nyumba.
Yule ni Ambokile. Japo Ambangile anauzima fresh.
 
Back
Top Bottom