Kama unataka mchambuzi mzuri wa mpira Mfuatilie;kama tukimtoa Dr leakey abdallah(huyu yuko Dunia tofauti na hao wengine)
1.Edo kumwembe( Huyu ni mzoefu,Mfuatiliaji wa mpira wa ndani na nje, Ni mchambuzi mzuri sana kwa bongo)
2.Mbwaduke(ni mzee wa data,ni mchambuzi mzuri)
3.Shaffi dauda( Huyu na edo wote wanauzoefu mkubwa,tofauti yao huyu yeye amejikita kuwa mkosoaji,na mrwkebishaji wa mfumo wa soka uliopo,Muda mwingine ukosoaji wako ni mzuri muda mwingine ni kama anapotoka)
4.Farhan jr.(Nadhani hao wote wakistaafu huyu ndio atakuwa Icon,wa wachambuzi wa mpira bongo,Ana exposure ya kutosha ya soka la ndani na la nje,no msomaji na mfuatiliaji wa makala za soka duniani,Huyu ni mwandishi mzuri sana wa makala za soka)
5.Amri kiemba(Huyu ni mzoefu ni ex player,Anachambua uhalisia sana na kwa kutumia uzoefu ulionao,Kwangu mimi namuoamini sana hasa linapokuja kwnye uchambuzi wa soka la ndani,Hana mihemko n.k)
NB.Hizo number sijazipanga kwa mtiririko wa kwanza hadi wa mwisho hapana,
Sent from my SM-G950F using
JamiiForums mobile app